Siku Rais Samia akigundua wanawake ndio wanaompinga zaidi, atawapigia magoti wanaume

Sukuma gang on the move
 
Jiwe nilikuwa namchukia, ile kabisa Chuki!!
No 1 simchukii, kabisa.
Ila NAKERWA KWA KIWANGO CHA JUUU MNO.
MNOOOOOOO.
Kulazimisha TUUONE UANAMKE WAKE KULIKO URAIS WAKE.

Hapa, kwa hakika AMENIANGUSHA MNO.
ANANIJERUHI SANA!!
ANAWAPA HOJA NYINGI MNO WANAOMPINGA.

Hii inaniumiza kama mwanamke ninayeamini katika UWEZO BINAFSI, KARAMA BINAFSI , JITIHADA BINAFSI ZA UONGOZI.

Bila jinsia zetu.
Bila UANAMKE au UANAUME YEYE NI RAIS.
RAIS KAMILI
1.KIKATIBA,
2. KIMAMLAKA
3. KIUTAWALA.

Mbona ni nguvu za kutosha kabisa kuongoza.
Hii ya jinsia anaitaka ya nini.
Mbona ni Redundant sana?
Mbona haiongezi kitu zaidi inamuondoa kwenye reli.
Kipi kinamlazimisha kurudia huu mwangwi kila anapohutubia?
Nani anamwambia ni lazima aongee hivi?

Dah!!
 
Leo nimeamini kumbe kweli hata saa mbovu kuna muda inasema ukweli.
 
Pale anapotusema wanaume kila akipanda jukwaani mbele ya watoto wetu na wake zetu mpaka unashangaa.
 
Watanzania hata ukiwaletea Trump awatawale watamchoka tu, tulitukana matusi ya kila namna wakati wa Jpm leo kaja mama nae kaanza kuchokwa natamani na upinzani siku uingie madarakani ili tuone kama watatufurahisha sisi wananchi.
 
Sisi watoa mbegu tuna jambo letu 2025.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Uko sahihi sana, ni nchi tumejaa unafiki,tamaa na kuto ridhika, tumejaa lawama, hatuna jema, hatukayai kukosoa but tuna zidi sana ,Tuache amalize muda wake aje mwingine nae afanye yake maisha yaendelee
 
Wengi tulitarajia ataunda serikali mpya
Wengi tulitarajia ataitisha uchaguzi mpya ulio free and fair
Wengi tulitarajia ataikubali ile rasimu ya katiba ya Warioba
Wengi tulitarajia wakimbizi wa kisiasa wangerudishwa nyumbani wakae meza moja na kufanya siasa za kujenga nchi
Wengi tulikuwa na matarajio mengi
Wengi tuna amini it is not late na anaweza fanya hivyo
 
Mambo ya usawa wa kijinsia sio uzuzu,ni mipango ya maendeleo,na ni lazima kwake kupambana kuleta usawa na haki za kijinsua,na haya maneno yenu,ndio hass sababu kuu ya yete kufanya hivyo

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Anachokifanya Samia ni kuonesha kwamba jinsia ya kike ni dhaifu to the extent that she has to remind us of their strength every now n then.
 
Huuu bdo ukweli, juzi nilishangaaa eti 2025 bdo mtachagua Rais mwanamke, angejua watu wasivyo mpenda angeanyamaza kimya.
Ila nikakumbuka Nyerere aliwahi sema " kuna kundi linalonufaika na wewe, ni baya kuliko maadui wanaweza kukudanganya siku zote wasikuambie ukweli"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…