Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

Simba na Yanga ni matakataka yanatumiwa kupumbaza watanzania wasidai tume huru na katiba mpya wamekalia kusifia goli la mama ukiyaita barabarani kudai maswala ya muhimu hayaji ila kwenye simba na Yanga yanajazana pigeni nyingi hawa pigeni za kutosha
Anzisha basi tukuunge mkono
 
Malalamiko, lawama, duku duku na vilio tuviwasilishe hapa
 

Attachments

  • y7322q.jpg
    557.5 KB · Views: 18
Kagoma hakustahili ile kadi ya pili refa kazingua sana leo
Haujakona kingine? na bado mtasema tu. Kwa hiyo, kombe liliandikiwa tu Fimba? Kwenye game kuna kupiga na kupigwa. Visingizio na visababu, acheni tuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ