Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
Apa natafuta wa kugombana nae ili hasira zipungue[emoji16]Balaa tupu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apa natafuta wa kugombana nae ili hasira zipungue[emoji16]Balaa tupu!
Mdudu kaliwaKwa Nini? Kuna Nini kimetokea,acha hizo mkuu
Maisha yamekuwa ndan ya masaa machache[emoji52]Man U nayo inapigwa siku mbaya ni siku mbaya tu!!
AsntePole mkuu
Hahahahaha leo ndio umeikumbuka Yanga kwa mazuri sio?Dakika 6 zimesalia, hapa ingekuwa yanga ningekuwa na imani nayo kulinda ubingwa
hapo ilikua kabla hatujapigwa kamba ya tatu
Sa si bora sisi, umewaona man huko?
Yes Ile Michezo michafundiye alikua anacheza?
Tumeenda mpaka kwake hayupo,tunamsaka popote pale alipo tumvue.Mwijaku naimani popote ulipo ushavua nguo tayari na kama bado tukuvue.
Utuwa umeumia kama yule alibeba beib wake na jezi wakaavaa naona jioni hii wamepita hapa kwangu wamenuna hao sijui leo ndani kutakuwajePole sana. Wengi hatukutegemea kuwa matokeo yangekuwa ya kikatli kwetu kwa kiwango hiki, hasa baada ya matokeo mazuri ugenini. Tulishakuwa na uhakika kuwa tunaingia hatua ya makundi. Na si ajabu ukakuta mashabiki ndio tunaumia zaidi kuliko wachezaji.
Kwani hujui kocha hana Vyeti?Kocha hana viwango yupo jukwaani sijui anampigia nani simu..........
Man u wabadilishe kocha.Timu ni nzuri ila mwalimu kaishindwa.sasa sijui uongozi unamwogopa kwa heshima ya sir.Alex au shida nini.Man u naye keshafungwa 4 na ndo half time.
Shabiki wa simba ambaye ni man u usifuatilie matokeo kafanye mambo mengine usije ukapata degedege.
Kilichotokea ni matokea tu ya uwanjani.ukifanya uzembe lazima uadhibiwe wala hakukua na hayo unayoyasema.Hili ndilo tatizo la wachezaji na viongozi wa timu ku bet mechi wanazocheza. Hii mechi, uchunguzi ufanyike kwa makampuni ama maajenti wa biashara za kamali nchini. Betting is killing our football game.
Poleni watani zangu.
Karithi timu yenye momentum wala hakuna maajab aliyoongeza. Alirithi timu yenye connection na iliyojengwa na watangulizi wake.Nazani hujui unaongea nn, ila kwa kuwa ni jamii forum na kila mtu anahaki ya kutoa maoni anayojiskia basi tukuache, ila nakushauri achana na masuala ya mpila.
Mwisho naomba nkukumbushe huyu ndiye kocha aliyeshinda mechi 4 na kusare mechi 1 na kufungwa 1 latika group stage yenye timu kama All ahly,, Ell melleki, na As vita na aliongoza kundi
Aisee hata mm naitafutaView attachment 1985533
Hii Pisi imejificha wapi?
Wakishinda kuchoka kwako hakuonekani.mambo mengine ni matokeo tu ya mpira maana ata wapinzani wetu nao wanajiandaa na wanatumia mapungufu yetu munufaika.timu iko vizuri ni marekebisho kidogo tu yanahitajika.Bora hata wacheze Onyango na Inonga- Wawa ameishachoka jamani mipira ya juu haruki- kule mbele ndio kabisa - Bocco kachoka- Dilunga kachoka- Kagere kachoka- Mugalu hakuna kitu- waliosajiriwa nao hakuna kitu- shabalala na Kapombe nao shida- kwa kweli uongozi kazi wanayo.