Siyo kweli kwamba wanawake tunapenda sana pesa, hatupendi umasikini

  • Wanaume wa leo wanatimiza miaka 50 wanakaa kwa baba na mama.
  • Wanaume wa leo hawatunzi wazee wao, wazee wanatunzwa na mabinti.
  • Wanaume wa leo hawatunzi nyumba zao, badala yake wako makini na kuhudumia michepuko.
  • Wanaume wa leo wengi hawasomeshi watoto, watoto wanasomeshwa na mama zao.
  • Wanaume wa leo wanajua ulevi na uzinzi na siyo kuwekeza, ndiyo maana wanawake wengi sasa ndio wafanyabiashara na wajasiriamali.
  • Wanaume wengi wa leo wanatunzwa na wanawake.
 
Nikupe hela ukasaidie wazazi wako kaka zako na wadogo zako wako wapi?wao wenyewe hao wazazi wanafanya nini?

Usilete hoja kwamba mumeo apambane familia yenu iwe na uchumi imara vitega uchumi watoto kupata elimu bora etc unalia njaa eti kusaidia wazazi?hizo akili umeacha kabatini au!
 
Unaweza ukapinga hii kitu lakini ukweli ni kwamba wanawake wengi wanapenda pesa wanatofautiana tu Kwenye level ya upendaji wa pesa kuna wengine ndio unawakuta kwenye udangaji, sasa hivi unachukua Leo namba ya simu ya binti kesho anaanza kuorodhesha shida yake Mara ooh kodi imeeisha, mama mgonjwa n.k hapo ujamtongoza kumbuka, Wengi wenu njaa zinawaendesha ndio maana mnagongwa ovyo ovyo kwa sababu za njaa za kishamba, kuna wengine unaomba nao meet anasema sina nauli unamtumia anaila hela ya nauli na haji hii ni njaa ya aina gani kweli?
 
 
Mambo haya sio Tanzania tu, nchi nyingi yanatendeka.
Elimu ya jando irudishwe
 
Wan
Wanaume wa leo wanatimiza 50 wakiwa kwa wazazi sababu mnawachuna hadi akili hivyo wanashindwa kujiendeleza kiuchumi

Wanaume wa leo hawawatunzi wazee wao sababu jinsia “ke” wapenzi,wadangaji,wake wao ndio hujiona hustahili matunzo,first priority inawafaa wao na si wazazi

Wanaume wa leo wanatunza michepuko sababu ya ujeuri,kutomthamini mume ndani ya nyumba ukiolewa unaona kila kitu umemaliza

Hawasomeshi watoto si kweli,pitia post roma mkatoliki na baadhi ya maoni ya watu ,hata achangie vipi mwanaume mtaweka sumu aonekane hana mchango

Kwenye ulevi na uzinzi ninyi ndii chanzo “walaghai tukiishiwa mnatukimbia “ uko na malengo wekeza akili yako pia kwa mwanaume
😅😅 povu ruksa mleta mada
 
Hivi kumbe ni huyu?

I rest my case nitapoteza muda tu hamna kitu hapa.
 
🤣🤣🤣 bro tukatafute hela hafu turudi kulala kwa wazazi, achana nao.
 
Usinipe link unajua vipi kama nina muda wa kusoma yaliyoandikwa humo?

Nimekuuliza unataka upewe pesa usaidie kwenu kaka zako wanafanya nini?mimi wazazi wangu atawatunza nani?mume kutunza wazazi wako ni apende yeye siyo lazima unatakiwa ulielewe hilo.
 
Tatizo la kuwa na baba aliyelelewa na single mother ndio huleta watoto wa kiume rojorojo wasiojua na wala kutimiza majukumu yao kikamilifu
 
Baba ako ni Tajiri?? Wewe una elimu gani?? Unafanya kazi au ni Malaya unaetegemea ujiuze ndo upate hela??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…