Siyo kweli kwamba wanawake tunapenda sana pesa, hatupendi umasikini

Dada, fanya kazi! Mlianzisha wenyewe movements za women rights na mliona mnaonewa hivyo mkaambiwa mwanamke kufanya kazi anaweza na ni ruksa pia sio mali ya mtu. Sasa wewe unataka kuwarudisha wanawake wenzako miaka ya 1950s.

Umeandika mapungufu yote wee[emoji23][emoji23][emoji23] ili tu upate pesa ya bure kwa unaowasimanga. Ndoa mliziita utumwa, sasa nyie mnataka tuwasaidiaje[emoji23][emoji23], kwamba umekuja duniani as a special gender.

Pia asilimia kubwa ya familia hazihudumiwi na wanawake bali ni wanaume, na hizo unazorefer zinahudumiwa na wanawake basically ni za single mothers ambao asilimia kubwa wanaume wengi huudumia indirectly kwasababu wengi huishia kudanga ndio alishe mtoto au watoto. Wachache sana hujitafutia nakuiendeleza single family yake ila wengi huanza kuwa na wanaume wengi hivyo anaanzisha mfuko wake wa jamii wa kuchangiwa. Times will change but gender roles can never be reversed.
 
Umetisha mkuu big up sana
 
Kumbe ndio hii akili yake diuuuh hii ni hatari sana 😳😬

Nikiwa pale nilijifunza usagaji,

Nmeishia hapo mimi sijataka kuendelea 😳
 
Mwanamke anayezungumzia pesa, pesa huyo hata ukimuoa ukiwa na pesa wakati zikitoweka atatafuta chaka lingine lenye pesa.
Kufupisha mambo yasiwe mengi mwanamke huyo hafai maishani hao ndo wanaofanya wanaume kuwa matapeli na majizi ili mke aridhike.
 
Huo umasikini ameshindwa kukuondelea baba yako na mama yako walio kuleta duniani nitaweza mimi tulie kutana ukubwani tu...?

Kama mama yako na baba yako walishindwa kukupa elimu au mtaji wa biashara ndugu yangu pambana acha kulaumu watu ...mapenzi ni kwa ajiri ya kuufurahisha mwili na sio kukuondolea umasikini wako dada
 
Nafikiri hapa umewazungumzia kaka zako zaidi ambao wamekuachia mzigo wa kulea wazazi na bado unalea watoto wao na brother wengine bado wako nyumbani kwa wazazi wenu. Pole sana. Shukuru hata kuna JF umepata pa kupumulia. Ila jua ni haohao ndugu sio wanaume wa leo. Hakuna mwenye akili timamu anayejishughulisha akabaki nyumbani mpaka akiwa kwenye 30s ukiachana na hiyo 50.

Ukiona hivyo huyo ni kichaa
 
Naomba idhini ya kuanza kukutunza wewe, to prove u wrong
 
Mkuu, mbona siku hizi mods mnajipiga ban. Tatizo nini hasa? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hah baba anawajibika kwa mkewe, si kwangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…