Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,381
- 11,296
Sio kweli, Hamas na Hezbollah walipigwa karibia wiki mbili ndio hata air dominance ikaanza kupatikana. Iran sio kundi moja na makundi haya, Iran ni organized, na kijeshi ni habari njingine pia. Iran amekuwa ikipandisha hata kwa US tena akitishia mauti na vifo kwa Israel na US. Ilifika hatua hadi kuonekana kuwa, Iran akiguswa ni vita vya dunia au middle east yote kuwaka moto. Kinachoonekana uwanja wa vita ni tofauti, pamoja na kujibu mapigo, hatuoni Irani iliyokuwa inasemwa. Vita siku 3 tu, tayari ulinzi wa anga umekufa, hapo nini kinabaki?!Bro kwa Israel hakutegema kama angekutana na mkono wa Chuma pale Iran.
Mbona huko kwingine alikua anabutua chaap na ushindi wa mapema?
π€£π€£π€£π€£ Sasa mzee kabeba begi kasahau suruali kweli kipigoMayahudi hawatokuja kumsamehe Netanyahu!
Amejua kuwadhalilisha wenzake, ving'ora vimeanza kuitika Ankoli ametoka na boksa tu.
Ankoli haamini anachokiona.
View attachment 3372705π―
Nadhani ulipaswa kusikitika, ukubwa wa Iran tuliyoaminishwa, watu wanapanga waondoe uongozi uliopo au hapana. Hii ni fedheha kubwa.Macron kwenye mkutano wa G7 amesema kufanya regime change Iran itakua ni strategical error.
Amelipinga hilo.πππππ
Sasa najiuliza kwanini amepinga mpango wa regime change Iran?
Au amenusa nini?
Ni kweli simsikii siku hizi.Huyu mtu alishakufa mkuu, kwani siku hizi unamsikia tena
Ankoli anaonekana yupo tungiiiii!π€£π€£π€£π€£ Sasa mzee kabeba begi kasahau suruali kweli kipigo
Kichwa cha kamanda mkuu aliyeapishwa juzi kimeliwa mkuu, ndo tarifa zilizopo kwa sasaIsrael kwa sasa hawezi kufanya lolote kwa Iran.
Kwa sasa watu wanachokiangalia ni kwa USA, itaingia vitani ama laa! Kwa sababu Israel ameshazidiwa.
Ndani ya siku 3 tu ameshazidiwa.
Inaweza ikawa ni kambi inayohifadhi na kurusha ndege za F35
Alishawahi kuonekana baada ya ile attack ofisini kwakeYupo kwa sana, walimbadilisha kutoka SBU kwenda GRU
Kama ni kweli Iran watakili wenyewe hawanaga tabia ya kuficha habari.Kichwa cha kamanda mkuu aliyeapishwa juzi kimeliwa mkuu, ndo tarifa zilizopo kwa sasa
Ndivyo mkuu, tarifa zimezagaaKama ni kweli Iran watakili wenyewe hawanaga tabia ya kuficha habari.
iran middle east wote hawampendi ukiacha mangiri wake hizbollah houth na hamasSio kweli, Hamas na Hezbollah walipigwa karibia wiki mbili ndio hata air dominance ikaanza kupatikana. Iran sio kundi moja na makundi haya, Iran ni organized, na kijeshi ni habari njingine pia. Iran amekuwa ikipandisha hata kwa US tena akitishia mauti na vifo kwa Israel na US. Ilifika hatua hadi kuonekana kuwa, Iran akiguswa ni vita vya dunia au middle east yote kuwaka moto. Kinachoonekana uwanja wa vita ni tofauti, pamoja na kujibu mapigo, hatuoni Irani iliyokuwa inasemwa. Vita siku 3 tu, tayari ulinzi wa anga umekufa, hapo nini kinabaki?!
Katika habari zote zinazonichanganya ni mbili tu.
-China kuwatangazia raia wake waondoke Israel tena HARAKA IWEZEKANAVYO.
-USA kuitisha kikao.
Sanasana hiyo ya China.
Nahisi Kuna kitu kikubwa kinakuja kutokea Israel.
Pia Iran kupooza kimashambulizi tusichukulie kindezi HUWEZI jua Iran ina mpango gani
Macron kwenye mkutano wa G7 amesema kufanya regime change Iran itakua ni strategical error.
Amelipinga hilo.πππππ
Sasa najiuliza kwanini amepinga mpango wa regime change Iran?
Au amenusa nini?
Mmeamua sasa kutuwekea ma picha picha ya kubumba ili tu kujifariji wakati kipigo Iran wanachopata ni kikali kupindukia.
Alikufa, na alikuwa anaaminika sana watendaji, ili kuficha ndio kusema kaondolewa.Hajafa,aliondolewa akawekwa mwingine
Naendelea kusikiaEndelea kusikia
Kumbepropaganda, Israeli ndio waliomba ceasefire..
Wewe jamaa ndo unaandika pumba sijawahi ona.Kwa taarifa Yako ISRAEL KWA SASA KATIKA MAMBO YA KIVITA YUKO MBELE SANA KWANZA AMEWEZA KUJITOA KWA MOYO MMOJA ROHO MOJA Iran hawawezi kujitoa Israel wapo wachache kama jeshi la Zanzibar au Rwanda Kwahiyo wanapigana vita vya kufa na kupona