Nitakuletea ushahidi wa raia wengi kukimbia Israel.Kuna point labda hatujaelewana. Mm nilichobisha ni full statement ya waisrael kuikinbia nchi. Lakini kwa Hali ya kawaida kwa watu wote nchi nzima lazima watakuwepo wataoondoka na nilisemma hasa wenye uwezo, lakini haiwezi kuwa maana yake raia wanakimbia.
Nikakutolea mfano wannchi wa Iran unafikiri wao huko hakuna wanaoondoka? Je tunaweza kusema in a full statement wairan wanakimbia nchi?
Mfano hapa kuna wairan ambao wameomba ukimbizi nchi jirani, je tunaweza kuconclude kuwa wairan waanza kukimbia nchi na kuomba ukimbizi sababu ya hawa?
View attachment 3376166
View attachment 3376165
Hana baya mzee wetu. Mungu amlindeHuyu mzee kanifurahisha sana, acha niweke avatar yake hii week nzima ku support anachokifanya...
Sema Putin ile statement yake kuhusu wataalam wake wa nuclear zaidi ya 200 aliyowaweka Iran kaitolea taarifa kibabe sana yani kama hataki ugomvi na mtu ila statement inatishaJeshi la Iran:
Israel waondoe watu haraka kwenye kituo cha kinyuklia Dimona maana wana jambo lao hapo muda wowote.
Wakati huohuo Bado US anasita hana uhakika kama B2 bomber hata KWA kutumia Satan 2 missile wanaweza kuharibu mitambo ya nuclear ya Iran chini ya Ardhi.
Russia anasema chini ya ardhi huko Kuna wanasayansi wake wa Nyuklia na haiwatoi.
Ni hayo tu
Supapawa wa mchongoTuwe wakweli tu..
Licha ya Israel kuvizia high ranking officers wa Iran na wanasayansi na kuwaua kwa msaada wa US...
Kwa sasa ni kama Israel hii vita imemshinda na anaomba msaada wa US...
US tayari yupo nyuma ya Israel lakini ni kama Israel inazidi kuzidiwa na tunapoelekea tunaona Trump akitumia nguvu zaidi kuhalalisha uvamizi kwa Iran, msaada anaopewa Israel wa intel, pesa, silaha na wataalamu inaonekana bado hawatoweza kupambana na Iran...
Na sasa kubwa la maadui, The US mwenyewe anataka kuingia front...
Hivi si tulikubaliana humu kwamba Israel ndio mbabe mashariki yote ya kati..? kulikoni mbabe anaomba maji vita haina mwezi?
Huenda hili halijaeleweka alivyoliweka.Wa Israel waliotoka Israel wakiwa wamefika Cyprus kwa boti baada ya kuikimbia promised land, wakipokewa kwa nyimbo , Free Palestine...
Hii ni aibu...
View attachment 3376095
Acha uongo...
===
Bahati nzuri au mbaya Iran sio waarabu.Huu mgogoro hauishi salama. Sure, Israel watafanikisha azma yao, watalipua na kuangamiza viwanda vya kutengeneza silaha za nuklia. Waneweza kuumua hadi ayatollah, hilo liko ndani ya uwezo wao. Iran imeonekana kuwa highly disorganized hata kuliko vikundi vya kigaidi ambavyo Israel amepigana navyo siku za hivi karibuni.
Lakin sasa, what hapoens next ndo mtihani mkubwa. Iran ni taifa kubwa lenye raia takribani milioni 100. Kukosa uongozi kwa jamii yake inayotofautiana itikadi za kidini na tamaduni ni mtihani sana. Shida wameishi under control ya regime ya hawa ayatollahs kwa miaka kibao, they don't know amani ni nine and how to practice one. Uhuru utaibua magaidi na wale wanaotaka amani wataibuka kutetea mwelekeo sahihi. Kufikia makubaliano ni ngumu sana. Angalia kilichotokea Libya. Hadi Leo ni taharuki tupu ingawa wana Imani moja ya kidini, sembuse Irani yenye mchanganyiko wa kila jamii!
Hatujaelewana. Katika nchi nzima kukiwa na watu wa hivi, inapaswa itoke statement kuwa nchi nzima ipo kwenye hali hiyo? Nimekutolea mfano sa wa Iran ambao wamekinbia nchi jirani kuomba ukimbizi, hiyo ina maana tunaweza kusema wairan sasa wakimbia nchi na kuomba ukimbizi? Sidhani Kama itakua sahihiNitakuletea ushahidi wa raia wengi kukimbia Israel.
Stay tuned kaka.
Kwa sasa kukaa ndani ya Israel siyo sehemu salama pia wewe unaona ni salama kwasababu yale makombora ya Iran hayajatua karibu yako ukauskia mtikisiko wake, kwahiyo acha wa Israel wahame kama wanavyofanya wamuachie Netanyahu acheze ngoma aliyoichokoza mwenyeweMkuu huwa mnaweza hisia sana mnapojadili hizi mada.
Unajua ni hatari kwa waisrael kuwa nje ya nchi yao kipindi hiki kuliko hata kuwa ndani ya Israel? Hivi unajua kuwa toka ile vita yao na hamas ianze mwaka Jana Israel ilisitisha kushiriki michuano mbalimbali ya michezo sababu ya kuwa targeted na watu wenye misimamo mikali?
Israel kwa sasa husaidia hata walio nje ya nchi warudi ndani sababu ndio salama kwao kuliko kuwa huko nje
View: https://youtu.be/5uj5YoVJTLU?si=cU1cVlGu3CJ7k4C8
Uliweka picha hiyo hapo chini na sasa unaniwekea picha nyingine kuhalalisha uongo wako!!!Mkuu unabisha ili iweje? Unalijua jeshi la Israel? Huyo wa kwanza kulia Ni Major General Rafi Milo. Nenda Google andika Major general Rafi Milo. Basi utapata majibu
Muangalie hapa kama utaona uvivu kugugo
View attachment 3375878
Tunabishana bure tu, waisrael ni salama wakiwa Israel sio nje ya hapo.Kwa sasa kukaa ndani ya Israel siyo sehemu salama pia wewe unaona ni salama kwasababu yale makombora ya Iran hayajatua karibu yako ukauskia mtikisiko wake, kwahiyo acha wa Israel wahame kama wanavyofanya wamuachie Netanyahu acheze ngoma aliyoichokoza mwenyewe
Pro Israel na Pro Iran wa humu ni watu m a hisia kali sana , hii inapelekea mnatoka hadi nje ya common sense.Uliweka picha hiyo hapo chini na sasa unaniwekea picha nyingine kuhalalisha uongo wako!!!
Kiwango Cha raia wa Iran kukimbia kulinganisha na idadi yao ni ndogo kuliko Israel.Hatujaelewana. Katika nchi nzima kukiwa na watu wa hivi, inapaswa itoke statement kuwa nchi nzima ipo kwenye hali hiyo? Nimekutolea mfano sa wa Iran ambao wamekinbia nchi jirani kuomba ukimbizi, hiyo ina maana tunaweza kusema wairan sasa wakimbia nchi na kuomba ukimbizi? Sidhani Kama itakua sahihi