Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu naomba kukusahihisha kidogo,Urusi ana print hela zake mwenyewe ambacho hawezi Ku print ni USD ambayo ni pesa sio yake.mengine yote upo sahihi kabisa.
 
Nilidhani mpaka sasa tungekuwa tunaona bendera za Russia pale Kyiv kumbe ni hizi ngonjera za tangu inaanza hii operation isiyo kuwa na kichwa wala miguu.Russia tuonyesheni nyinyi ni super power mbele ya Ukraine ndiyo nitaelewa.
Mkuu kwani umesahau kwamba mliomba Urusi asiendelee na Operation kwenda Kiev,au ndio kujitekenya na kucheka mwenyewe.
 
Wewe una matatizo gani?
Kila posti lazima utaje ushoga!
Kwenu kuna mtu ambaye ni shoga au uliwahi kufatwa na shoga?
Mnapenda misaada wabongo ndomana mnapitisha ushoga ksa misaada mtu kama huyu ndo familia inamtegemea tayari kashaona bila misaada hawezi fuckenn kabisa
 
Raia wa Ukraine hawataki kibaraka wa Russia awe kiongozi wao wala hawavutiwi na Moscow wala hawataki taifa lao kuwa Belarus nyingine. Wanavutiwa zaidi na New York, London, Paris, Berlin
 
Kweli nimeamini ww ni kiazi kama iyo picha yako apoo ww unajua utofauti WA madini au uanisi dhahabu unatumika kwenye uremboo Tu thamani ya dhahabu haina mbadala wake katika madini yote uyajuayoo
 
Jamani nimetoka kuongea na rafiki yangu yuko Sweden muda huu amenithibitishia kuwa vifo vya wa ukrain ni watu 200 tu
Na sivyo kama tunavyohabirishwa humu.
Na hii imenionyesha thamani ya mzungu

Yaani vita ni kubwa na inahusu nchi kubwa km Urusi lakini idadi ya vifo ni vichache lakini wazungu wamechukia dunia nzima na kuonyesha ushirikiano
 
Wanafalsafa wanasema kuna aina 4 za watu:
1)Anayejua na anajua kuwa yeye anajua.
2)Anayejua na hajijui kama anajua.
3)Hajui na anajua kuwa yeye hajui.
4) Hajui na hajijui kuwa hajui.

Watu wa kundi la 2 wanashauri uwe nao makini ila watu wa kundi la 4 wanashauri jamii hiyo ya watu achana nao kwani hakuna zao bora litakalotoka hapo!
 
Mkuu Muungano wa Nchi kwa Nchi stage ya Mwisho huwa ni muungano katika Uchumi-one currency. Sasa unaposema England hakujiunga sijui una maana gani.
Naomba kufuta England ibaki UK.
Ni kwamba wakati wa kuunganisha sarafu UK aligoma kwenda kwenye euro, akabaki na Starling Pound yake.
Au kama unakumbuka ali i surrender lini £ yake kwa EU tukumbushe maana kipindi cha kati hapo nilikuwa si mfuatiliaji saana wa masuala ya kimataifa.
 
Hata na wewe unapanic Mkuu,Sote twajua mambo hayaendi kama vile Kremlin ilipredict yaende,but wewe si wa kugive up kirahisi hivyo. Leta hoja tupo tunaokusoma na kupata kitu Mkuu.
wala sijapanic
sikumbuki kumtusi au kumuita mtu mjinga toka nijiunge kwenye hii forum sasa mtu ukiwa unakuja na lugha zaajabu ajabu wengine tumelelewa kuwaheshimu wengine kwakuwajua ama kuwasikia tuu sasa ukija na matusi hua naamua kukupuuza tuu kama nlivyo fanya kwahuyo jamaa hapo juu
kuhusiana na huko kwengine hakuna sehem tume give up
RUSSIA mbele kwa mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…