President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Wanaishi maisha ya Nyumbu[emoji23]Hivi hizi nchi za ulaya zina uhuru kweli? Kwamba nchi iadhibiwe kwa kununua kitu? Unions zingine za kingese sana.
Ila acha wapambane na hali zao, hivi sasa nasikia wameanza kuwaondoa wakimbizi wa Afghanistan ili wawapishe hawa wakimbizi wapya kutoka Ukraine..
Yabidi avute shuka vizuri asiliwe na mbu aendelee kuota vizuri [emoji847]
Tunza kumbukumbu tu....Kaa Kwa utulivu sasa utavunja sindano.... Mmedandia melivita mpaka imewachosha ...hamna jipya ...tumeteka Kambi nzima na hamna la kufanya ....na kichapo tunawapa Cha kushato ...hamna la kufanya zaidi ya kuvumilia tu maumivu ....ikiuma sana chomoa uende.
Amin[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Kabisa
Na waonewa hapa wanajulikana ni RUSSIA maana wanapigwa sana huko uwanja wamapambano
MUNGU ataendelea kusimama na RUSSIA kwenye hii OP mpaka ipite salama
Mpaka sasa naona ujerumani imeshaamua kujitoa na huo umoja wao wa kususia kiwese na gesi ya russia sema tuu kutamka rasmi ndio inapata kigugumizi.Germany can break up the alliance of Western countries against Russia to save their own economy.
The Telegraph columnist Keith Andrews writes about this.
Unlike the United States and Great Britain, Germany will not be able to impose an embargo on Russian gas supplies without serious consequences for itself, the journalist believes (55% of blue fuel to Germany comes from Russia).
According to him, due to the hesitation of the German authorities, the allies, especially Poland, Lithuania, Latvia and Estonia, are increasing pressure on the country, while the “united anti-Russian front” is weakening.
At this stage, Berlin is refusing to reach a consensus with its allies on how to engage with Moscow, Andrews writes.View attachment 2196706
The European Commission allows payment for Russian gas in rubles, but under certain conditions, reports Reuters.
The payment method, excluding violation of sanctions, was sent by the EC to the countries of the European Union.
The scheme provides for gas recipient companies to open foreign currency accounts in a Russian bank. On them, the buyer will credit dollars or euros with their subsequent conversion into rubles to pay for fuel.
In this case, Western countries will not be able to block the payment for Russian gas. A similar payment scheme is spelled out in the decree of Vladimir Putin, according to which, from April 1, unfriendly countries must buy Russian gas for rubles.View attachment 2196705
Hii ni kama vile kuanza kutumikia death sentence kwa hiari [emoji847]hii kitu asikwambie kitu,ukiwekewa seal the zone!! Ebwana we mnaweza mkaanza kukatana makalio na kula nyama za makalio ya wenzenu !!kibaya unamuona mwenzio anakata kamba live kwa njaa/kiu sio kwa bullets ya adui Ila njaa,na kiu,hii kitu ni mbaya Sana kwenye medani ya Vita,kwanza mnaosalia mnakosa molale kabisa ya kupigana ,kifo Cha bullets ni kizuri kwa kuwa huwa kinatoa mizuka kwa pot ,Ila njaa ni kifo Cha aibu Sana kwa soldier's.
Kaa Kwa utulivu sasa utavunja sindano.... Mmedandia melivita mpaka imewachosha ...hamna jipya ...tumeteka Kambi nzima na hamna la kufanya ....na kichapo tunawapa Cha kushato ...hamna la kufanya zaidi ya kuvumilia tu maumivu ....ikiuma sana chomoa uende.
Sure, Now all eyes yapo Ukraine, ila kinachoendelea pale Palestine ni mazito mno tena Mno...[emoji25]Kila wakati ambao Dunia imekuwa ikipitia ugumu fulani.. ni wakati ambao Israel ndo ilitumia kuchukua hatua kwa Palestine.. kutokana na hii vita ya Ukraine kusongwa na uongo mwingi wa vyombo vya habari hasa vya magharibi na kutengeneza "chaos" au taharuki baina ya watu.. kiasi ambacho vita ya Israel na Palestine imefunikwa hivi..
Kunauwezekano mpaka vita ya Urusi dhidi ya Ukraine inamalizika Israel itakuwa imetimiza jambo lake Palestine.. ambalo lilitakiwa kukemewa na walimwengu.
Unnessesary sactions ,hadly anyone goes to Putins Moscow .❗️Russia Expands Sanctions List - includes Vice President Harris & Zuckerberg
29 Americans have been included in a so-called “stop list” - including senior leaders, businessmen, experts and journalists over a Russophobic agenda. (Russian Foreign Ministry)
Moscow also imposed similar sanctions on 61 Canadian citizens.
Kweli we ni kitungiUholanzi hawaitegemei sana gas ya mrusi! Wao wenyewe wanayo huko Groningen.... na wanasema 'wakiifungua' zaidi wanaweza wakasaidia 20% kwa Europe yote!... tatizo linakuja kwenye maamuzi tu sababu kila mwaka huwa kunatokea matetemeko ya ardhi huko Groningen na uharibifu wa nyumba za watu! Nchi masikini tu ndio zina bweka sana... ulaya 'matajari' wanaendelea kukomaa.
Hapana brother,life is not a game of chance,you plan how you will leave and die by what you eat, your belief system and confession.You are a product of what you eat,believe and confess by your mouthKama Mbinguni tu kulikuwa na Vita isitoshe hapa Duniani.
Mkuu mwisho wa maendeleo yoyote Yale huwa ni uhalibifu,haijalishi ni wa aina gani-angalia hata wewe unazaliwa na kupitia stage kadhaa katika maisha na mwishowe ni kufukiwa shimoni.
Hakuna ubaya wa watu kufa,maana watu wamezaliwa ili wave na kila kifo kinatokea kwa sababu.wanajeshi wa Ukraine wanakufa kwa kutetea kilicho Chao hivyo hivyo kwa wanajeshi wa Urusi.
Mungu alimpa mwanadamu maarifa,na maarifa hayo ametumia kuunda silaha za maangamizi dhidi ya Binadamu mwenzake-kama hupendi watu kufa kutakuwa na maana gani mataifa kutumia maarifa yao na resources kuunda zana za kijeshi-only destruction.Na kupitia situation kama hii akili ya mwanadamu inapanuka zaidi+na ndivyo maendeleo yanapatikana na uharibifu nao unakuwa haupo mbali.
Life is game of chance,usipokufa kwa kupigana utakufa kwa njia nyingine.So maisha na kifo vyote sawa-enjow the show brother
Utawapa we na nani jomba hao warusi [emoji847][emoji847]... Unataka kuwapa nini yaniiii tukusaidie kupeleka wasiichukue kwa nguvu [emoji23]Hata tusipowapa wataichukua kwa nguvu
kimeumanaaaMrusi bwana Kanifanya Nicheke
Wao walifungia Herufi Z na V
Sasa Jamaa wamekuja na Herufi zote Wafungie Tuone
So you believe wanatoa vyote hivyo bureeeee, just bure coz wana roho nzuri??US wanakupa msaada wa kutahiri ndugu zako magovi, chanjo za Corona, ARVs n.k, unawezaje kusema hao ni evil zaidi ya Russia!
Ndio kwanza shughuli inaanzaHii imekaaje ase [emoji848][emoji1787] View attachment 2195227[emoji298]Russia and Vietnam have agreed to host joint military exercises.