Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

BREAKING NEWS here in Moscow

After buying discounted oil from Russia, Indian government reduces petrol price by 9.5 rupees per litre

Diesel price has been reduced by 7 rupees per litre

Indian citizens are happy [emoji1635][emoji898] https://t.co/1Gif76ZpGc
 
Sawa Mmelekani wa Gamboshi
 
Au sio [emoji847]

Kwamba Ukraine kupigwa na Urusi si habari bali mwaliko wa Kipaimara [emoji23][emoji23][emoji23] Hatare sana... Tumekusoma mwamba.
Habarini ndugu
Nmekua nkifatilia koments kwenye huu uzi tangu unaanza mpaka kufikia hapa. Leo nimeamua nami nitoe ya kwangu kiduchu.
Nilichogundua ni kwamba pro Russia wako vizur sana kwa namna wanavofatilia mambo.
Ningependa kutoa wazo ' Pro Russia tuanzishe taasisi kwajili ya kutoa elimu kwa wenzetu wenye matatizo ya kung'amua mambo'
Ikiwapendeza laikin....ila tusiache kuwapelekea moto
 
Akakatazwa nanani sema akaogopa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mambo mengi mda mchache, vyovyote tunavyojaribu kueleza hapa tukubaliane kua
1. Zote hizi ni assumptions kulingana nakile unachokiona upande uliosimama kitu ambacho aliyesimama upande mwingine anaona kingine.

2. Unaelewa kitu na kukitolea maamuzi kulingana na taarifa ulizonazo kichwani juu ya kile kitu. Utaona jagi utasema lile jagi kwasababu akilini una taswira ya muundo wa jagi.

3. Rejea kwenye kauli ako kubwa na ya muhim, hakuna ajuae malengo halisi ya Putin apo Ukraine, kila kitu tunachojaribu kuzungumza ni mtizamo tu wa nje wa kile kinachoonekana.

4. Hayo maswali mengi ya kujiuliza kwanini huku kafanya hiki kwanini kule hajafanya kile, huezi kupata majibu yenye uhalisia zaidi ya kuzua assumptions zingine juu ya Assumptions.

5. Hii hali ya kusema malengo ni haya na yale based on assumptions ndio baadae mnaaza zozana na Pro NATO mwishowe mtaishia kuitana wakina flan hawana akili.

6. Narejea kauli ya jamaa mmoja hapo juu... Kila ukweli ni mtazamo na si kila mtazamo ni ukweli.

7. Sikukurupuka kukujibu... No, nilikujibu kwa wingi wa taarifa nilizonazo juu ya mzozo huo... Niko na Putin, Supporter wake mkubwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Japo hanijui ila nitakuwa wa mwisho au nisishiriki kabisa hicho kikombe cha kuamini ati RUSSIA ANAITAKA EASTERN UKRAINE ILI AIWEKE EUROPE KIGANJANI AWEZE KUSTABILISE UCHUMI WAKE. Never ever.

Slogan yangu huwa ni simple tu...
Ikiwa
A ni sawa na B
B ni sawa na C
C ni sawa na M basi lazima A iwe sawa na M otherwise its FALLACY argument.

Yalikuwa maoni yangu tu lakini, we kama unayafaham malengo ya Russia na umejiridhisha kua ni hilo nyuma ya pazia basi hongera.
 
Mimi nitakuwa mwenyekiti.
 
@YEHODAYA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kule luhansk na Donetsk Ukraine ndio ipasahau kua nchi yake, na wakianza kuleta ***** ***** watapigwa tena watapokwa na majimbo mengine. Msaada pekee kwa Ukraine ni marekani na EU na kama unaona uzuri jamaa wanampotezea kiaina
 
Baabeki na usingizi hadi umekata πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wazo zuri bro.

Ila mie binafsi nikiulizwa unataka kufundisha nini nitajibu kua.. nataka kufundisha namna ya kuelewa na kukichambua jambo sio misimamo niliyonayo au mawazo niliyonayo.

Kwanini nasema hivi?

Ukimfundisha mtu namna ya kuelewa, kesho hata kaa haupo. Mbinu zile za kuelewa na kutambua jambo zitaendelea kuwepo so haitakuwa kazi kwake kukichambua na kuutambua ukweli.

Ila ukimfundisha mtu msimamo wa kile unachoelewa, kesho akikutana na jambo geni hatoweza kuling'amua kwasababu alichonacho ni misimamo sio uwezo kuchambua kilichopo mbele yake.

As usual narudia,
Ikiwa
A sawa na B
B sawa na C
C sawa na M
Kwa hizo statement ziwe CORRECT lazima A iwe sawa na M, Otherwise its FALLACY

Nataman kuendelea ila usingizi sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hiyo ni history ya wapi inakueleza hivyo..?...
 
Mkuu, kula tano.

Yaani ni kwasababu tu kwamba tupo JF mtandao ila natamani siku moja tukae kikao tupate kahawa na kashata mjadala makini uendelee.

Kwa kuongezea tu ni kwamba si tu Mr Putin ni strategist bali pia ni tactician yaani mbinu zake ni siri yake mwenyewe na hata bwana Shoigu hustukizwa.

Nilisema humu na nikawaelezea wale mazee waitwa Siloviki ambao wengi ametokea nao ilokuwa KGB .

Hawa wakiongozwa na Nikolai Patrushev ni watu ambao huwezi kuwabadilisha mawazo kuhusu mstakabali wa Russia katika jukwaa la dunia ikiwa ni mmoja wa "super powers".

Hawa wataka Russia iheshimiwe na iogopwe.

Putin kuita hii ni special military operation ni wazi kuwa inajidhihirisha kwa raia wa Russia kwamba usalama wao na taifa la Russia ni lazima uwe kwa kuhakikisha Ukraine haiwi kichaka cha NATO.

Wao waamini kuwa Marekani anaitumia Ukraine (proxy war) kutaka kuiharibu Russia na kuondoa utawala wake yaani "regime change" na kisha kuchukua rasilimali ulozieleza.

Patrushev ambae ni mwenyekiti wa baraza la Usalama aliwahi kunukuliwa mwaka 2015 akiliambia gazeti la Kommersant kwamba Marekani ingependa kuona Russia kama taifa halipo kabisa.

Juzi wametoa orodha ya watu ambao Russia inaamini kuwa ni majasusi wa nchi za Magharibi na kwenye orodha hiyo wamo Boris Berezovsky na Alexei Navalyn.

Petrushev ni jasusi mahiri sana na mwaka 2016 anadaiwa kushiriki mkakati wa kuhakikisha Montenegro haijiungi NATO katika nchi za Balcans na kukafanyika mapinduzi.

Kisha kuna mazee aitwae Sergei Naryshkin ambae ndio aongoza idara ya ujasusi wa nje yaitwa SVR ambayo hucheza kama mdogo wake KGB ambayo kwa sasa yaitwa FSB ambayo ujasusi wake ni wa jumla yaani ndani na nje ya Russia.

Naryshkin alifanya mafunzo pamoja na Putin enzi zao na yeye akatupwa Brussels huku Putin akiachwa Dresden Ujerumani mashariki kuchunguza wageni wote wanoingia Ujerumani.

Na mwisho kuna Sergei Shoigu ambae huenda kuwinda maporini pamoja na Putin na hupigwa picha pamoja. Shoigu ni waziri wa Ulinzi . Huyu si mwanajeshi lakini ndie aliefanikisha kuchukuliwa kwa Crimea mwaka 2014 na Russia kuingia Syria mwaka 2015 bila kupingwa. Shoigu humwambii chochote kuhusu suala la "Maslahi ya Taifa".

Na bila kumsahau mzee Sergei Lavrov ambae ni waziri wa mambo ya nje tangu 2004!, utamwambia nini mwanadiplomasia nguli huyu?

Huyu mzee amekuwa akijaribu bila mafanikio kustaafu lakini Putin amekuwa akimkatalia kwa sababu ya uzoefu wake na ndie msemaji wake mkuu.

Jambo la kijifunza hapo ni kwamba rasilimali na maslahi ya taifa hutakiwa huenda pamoja na ukipata viongozi wanojitambua na kutambua umuhimu wa masuala haya mawili basi mstakabali wa taifa kimaendeleo husimama imara.

Jambo jingine ni mkakati wa kitaifa, malengo na maono ya taifa ambayo kutegemea ujasusi wa hali ya juu kuhakikisha taifa haliyumbi wala kuyumbishwa khasa pale taifa hilo linokuwa na rasilimali za kudumu ambazo huweza kutumika kuliendeleza taifa hilo.

Mwisho ni kuhusu ujasusi kwamba ni sanaa ya taifa zima yaani "statecraft" katika kutumia uwezo wa kiakili masuala kama mipango ya maendeleo, sera ya nje na uhusiano wa kimataifa. Yaani sio tuambiwe umuhimu wa ziara za raisi nje ya nchi lakini yaje magazeti ya hukohuko nje yakebehi ziara hizo kwa kuangalia namna tunojidhalilisha kwa matumizi ya kodi na rasilimali za nchi.
 
Hua wanashikwa mikono MKUU
La sivyo kila leo tungekua tunazika Pro NATO 50 mpaka wanaisha na dunia ingekua mahala salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha Truth Table kwenye logic mathematics ya A Level.
 
Kuna watu toka Yombo watakuja kum bishia Zelensky kwamba unashinda Urusi hamna kitu. Mahaba mabaya sana
Zelensky keshaanza kuuona muziki halisi wa Urusi!! Vita siyo propaganda!! Amekata tamaa!! Wiki chache zilizopita aligoma kuendelea na mazungumzo baada ya kuona kuwa msaada wa NATO wa fedha na vifaa vya kivita vitamfanya ashinde!! Leo ameshuhudia shehena ya silaha iliyokuwa ipelekwe mstari wa mbele imeteketezwa yote!! Kiburi cha kukataa mazungumzo kikaishia hapo na sasa anataka kumaliza vita kwa mazungumzo!!
 
Kuna daraja limevunjwa huko askari km 10000 wa Ukraine wametengwa na wenzao hakuna silaha hakuna chakula wala tiba.Kuna convoy ya Km 11 ya Russia inaenda kuongeza nguvu huko . Mpaka huruma Donbass haina muda its Mauripol part 2 .

Russia wanajindeshea malori yao mavifaru hiyo ni baada ya kuyeyusha drones kama 100 hivi za adui. Saizi vifaru kama WW2 vonatamba tu drone zinamulikwa zinayeyuka

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Takataka ni wewe manii ya nguchiro. Au hujuhi kuwa huu mtandao unafadhiliwa na sisi Magharibi, kwhy kama vp kaanzishe wako, punguani mkubwa ww.
Wewe andwanga huna hujualo zaidi ya kuhimili vitu vizito kwenye shimo hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…