Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russia anapigana kimataifa anakumaliza nguvu akiwa mbali kisha ndio anakusogelea. Muda mrefu anatulia eneo moja akimsubiri adui. Ukraine ndie anamfuata Russia DONBASS hivyo Russia hana haja ya kutawanya nguvu anasubiri waje.Itafika pahala hata hao walinzi wa Kieve wataisha
 

Mziki wa HIMARS bado upo pale pale...ndio muarubaini, mpaka sasa Mrusi ameingia hasara ya mapigo, na akivumbua mbinu za HIMARS analetewa kingine, madude yapo ya aina nyingi na yamefichwa pale Area 51, Marekani.
 
Hii inaitwa TACTICAL MANOEUVRING (MANEUVERING). Kutompa adui anachohitaji bali kumpa anachostahili. Ikumbukwe kwamba mbinu na audacity ya kukwepa vita kimkakati, kwa yenyewe tu kimedani hutafsiriwa kuwa ni kushinda vita.
Good general wins wars without firing a single arrow
 
Sawa mkuu MANDONGA ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kmmake Mchina!! Dah,๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿƒ๐Ÿƒ
Mchina kafeli bigtime sema labda ni mbinu ya kivita kumrusha kipindi USA. Nadhani US ana lengo la kuipanikisha China ili iwe under operation waivunje nguvu kama wanavyofanya kule Ukraine.
 
Zelle maji yamezidi unga anaomba poo Sasa.

๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ - Interesting article by Hongkong newspaper SCMP saying Ukrainian president Zelensky is seeking to talk with Chinese president Xi in order to get his help in ending the war in Ukraine.
 
Wachina ******* wana tabia za kinafiki sana nimefanya nao sana kazi, wana michongo ya uchawa sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚!!!

Kitu kimoja naamini urusi itashinda ikishirikiana na Iran na washirika wengine.
 
Mziki wa HIMARS bado upo pale pale...ndio muarubaini, mpaka sasa Mrusi ameingia hasara ya mapigo, na akivumbua mbinu za HIMARS analetewa kingine, madude yapo ya aina nyingi na yamefichwa pale Area 51, Marekani.
Soma hii hapa ww mkunya ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ - Interesting article by Hongkong newspaper SCMP saying Ukrainian president Zelensky is seeking to talk with Chinese president Xi in order to get his help in ending the war in Ukraine
 
Kwa hilo naweza kubali maana putin akili nyingi huwa hafanyi kile ambacho mnatarajia atafanya๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ila anakuwa anamseti boya wake.

Kwahio Marekani atajiona mwamba kufanya huo ujinga ila kumbe kuna skadi kabambe ameandaliwa akishajiachia tu anaachiwa kitu kizito.
 
Lazma ataleta mambo ya kujifanya anapigania demokrasia ya Taiwan kuwa ni sovereign state kwahio anataka iwe liberated ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ huwaga Marekani hana sababu ingine.
 

๐Ÿ†•๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ2 HIMARS THAT WERE DEMILITARISED๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ
It seems that these are the ones who were struck near Kharkov. Judging by the photo, they were tracked down and struck when they were already in hiding๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ