Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

👏👏👏👏👏👏👏 Uko sahihi kabisa Mkuu.
Mambo mazito kama haya ya vita baina ya nchi na nchi Yana Siri kubwa mno.
 
Kwani wewe unaamini palikua na waasi?.
Yani jeshi la kukodiwa linawezaje kuasi.
Au Kampuni ya ulinzi inawezaje kuasi.
Halafu jeshi la taifa liko kimya TU linatazama Kampuni ya ulinzi inataka kumpindua sijui waziri wa Ulinzi au Rais.
Hapa kweli Pana maswali mengi kuliko majibu.
Yaani Spertsnaz wako kambini kimya TU.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi nilishindwa kabisa kufanya kazi maana nilikuwa sijaelewa mpango wa Putin
Kumbe tunaoitakia Urusi mema bila unafiki tupo wengi... Jana niliteseka sana hasa nilipofikiria silaha zilizokuwa mikononi mwa Wagner ni made in Russia.

Ni heri mataifa mengi yaungane kwenda kupigana na Urusi wakitumia silaha zao kuliko kundi kama Wagner wenye silaha za kisasa zilizotengenezwa Urusi. Nilipata hofu sana hadi nikawa na kisirani huku kazini.

Urusi ni mlinzi wa dunia tuiombee
 
Aah ha ha ha haa.😀😀😀😀😀😀,
Pia watu kuisifia CIA na NATO kua walikua nyuma ya mapinduzi.
Kwamba Urusi inapinduliwq na kampuni ya ulinzi Huku wanajeshi kamaili wa Urusi wakiwa kimya na wengine wakiendelea kuitwanga Ukraine.
 
Hahahah kumbe warusi wa jf wote tuliteseka mno jana. Ni mbinu za kivita lakini tuendelee kula mtori nyama ziko chini [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alafu mm nilikuwa nawashangaa hawa pronato walivyo kuwa wanamshangilia huyu jamaa,hivi huyu jamaa ingetokea akamuangusha Putin kweli alafu Urusi iwe chini ya mikono yake dunia nzima situngepoteana?
Kuanzia Ukraine na nchi zote za Magharibi zingemkumbuka Putin maana Ukraine ingekumbana na maafa mpaka dunia ingebaki kwenye mshangao mkubwa.

Kwa nguvu ilizo nazo Urusi haitakiwi kuingia mikononi mwa huyo mwehu.
 
Sio hivyo Mkuu,
Jana Urusi walifanikiwa kusonga mbele kwa sababu wanajeshi wote wa Ukraine walikua wanaangalia TV kama Putin Kaangushwa na "wagina."
Ndipo jeshi la Urusi likatumia fursa.
 
Hapo ndipo mnapokosea,usipende kumlaumu mtu asipofanya vile wewe upendavyo.
Kila mtu ana mipango yake na mamuzi yake.
Kwahiyo wewe unaona anastahili kuendelea kuwa hai? Chukulia wewe ndo ungekua Putin na alichofanya haukua mchezo kama wengine mnavyoamini.

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Hahahah jamaa analilia silaha tu mda wote 🤣🤣🤣 angepewa mamlaka angemaliza vita kwa nyuklia tu
 
Wakuu wa Majeshi na Mawaziri wa nchi za NATO kila mara wanakaa kupanga mikakati ya vita ya Ukraine pia kutoa vifaa jeshi bado unaona NATO haipo vitani na Urusi?? Basi uelewa wako wa maswala ya kijeshi utakuwa mdogo sana!
Ha ha haa,huyo jamaa unaemjibu utachoka mwenyewe.
Yani ana mfumo wa peke yake wa kuelewa mambo.huyo jamaa kafadhaika sana alikua ana matumaini makubwa sana na counter offensive amabayo imeishia kua janga Ukraine.
Anasema Russia ni dhaifu kwa sbabu Wagner walikua kwenye "mgomo".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…