Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ona huyu

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
March 13 2022

Sijaiona Urusi kutetereka na vikwazo uchwara.lkn west wameteteka sana.
BRICS imeimarika sana na swift ya Urusi Iko vizuri TU.urusi inadunda TU IMESURVIVE vikwazo vyao.
 

March 14 2022

Hali ni kinyume kabisa.
Imejulikana silaha za west ni dhaifu na za Urusi kumbe ndio Bora.
 
Hawa Warusi waliotengeneza hizi Zala KYV kamikaze drones hawako serious. Betri za lithium nyingi badala ya kuweka moja kupunguza chance ya kufeli. Hizi drones nadhani zinaongoza kudondokaView attachment 2150854View attachment 2150855
March 14 2022
Mdau aliponda hivi.
Akajibiwa na Richard hivi

Richard
Hizi ni kwa ajili ya reconnaissance na ni disposable maana hutuma picha HQ.
Mwamba akajenga hoja Tena hivi
 
14 Feb 2022
Akajibiwa na Richard Tena hivi

Richard

.Warusi pia wapo juu kiteknolojia na ndo maana nikasema hizo ni zile ambazo ni disposable.

Zatumwa nyingi na jamaa wa espionage walio ndani ya eneo la adui na kisha zafanya reconnaissance na kutuma picha makao makuu ambayo kwa ufanisi itakuwa ni Belarus.

Russia pia atengeneza silaha na kiteknolijia na ana wanunuzi wake akiwemo mchina.
 
Sio suala la ndege tu, hata silaha nyingine Urusi imegundulika ni maneno mengi vitendo hafifu. Ndio maana mwaka huu Urusi imebeba sample tofauti 250 za silaha kwenda Dubai expo wakakosa kuambulia hata kuuza kifaa kimoja. Wakati Marekani imejizolea deals kadhaa.

"We have been working without (international financial transaction service) SWIFT, without the dollar and without the euro for a long time," huyu ni mkuu wa kampuni mama ya kuuza silaha ya Urusi Rosoboronexport, Alexander Mikheev akilialia.

Data za SIPRI zinasema Russia ilikuwa na share ya 22% ya arms exports duniani miaka ya 2013-2017, ikashuka kuwa 16% miaka ya 2018-2022. Hapa 2022 hadi 2024 wakipata 10% ya arms exports Warusi muombe mods wa JF wanipige ban.
Kama vipi leteni mikataba ya mauzo ya silaha ya Urusi mimi nilete ya nchi za kawaida hata Uturuki tulinganishe mwaka 2022 au 2023 tuone nani kauza silaha nyingi. Au tulinganishe orders za silaha za Urusi zilizokuwa cancelled na silaha za superpowers.

Superpower mwenyewe sasa kazidi kusaini deals za hela nyingi. Hata nisiandike mengi UAE pekee ilisaini deal la dola bilioni 52 kununua ndege za Boeing. Ila angekuwepo muuza maji aliyeyabeba kichwani angeingiza hela nyingi kuliko Urusi wiki ile November mwaka huu. Hii ni Il-76MD90A ya Urusi iliungana na silaha zao nyingine katika harakati za kupigwa vumbi pale Dubai kisha kurudishwa nyumbani mikono mitupu.

Kulingana na TASS (TBC ya Urusi) kumbe vikwazo viliwasumbua Rosoboronexport, wanadai wametatua matatizo ila Dubai wamesaini deal la kuuza silaha sifuri.
 
March 2021.
Huyu mwamba hakuwapa kabisa Pro NATO wapumue,alitoa Update za kufa mtu,na entertainment ndani yake.
 
Nitajie nchi Tatu TU nazojua wewe ambazo ziliingia vitani na nchi nyingine zikakamata anga la nchi pinzani ili tuweze kuilinganisha na Urusi kushindwa kukamata anga la ukraine.
Nitajie ili nijifunze.

Lakini najua utaniambia

Yaani USA/NATO kwa umoja wao walikamata anga la Iraq,πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

NATO kwa moja wao walikamata anga la Yugoslavia/Serbia,🀣🀣🀣🀣🀣🀣

NATO kwa umoja wao wakakamata anga la Afghanistan,kwa watalaban wasio hata na helkopta,πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

NATO kwa umoja wao walikamata anga la LibyaπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜€

Kwa hiyo hayo ndio ma anga ambayo NATO wanajivunia kukamata kiasi ambacho wewe ndio unatolea mfano?

Sasa Leo Urusi peke yake unasema haijakama anga la ukraine,je uwanja wa vita wa Iraq, Libya na Afghan viko sawa?
Ukraine imepakana na nchi za NATO ambako ndio Kuna high tech ya silaha zote duniani,huoni kama mrusi anapigana katika uwanja mgumu kuliko viwanja vyote vya vita hapa duniani baada ya WW2?
Unaweza ukalinganisha na Iraq,Libya na Afghanistan ?

Nadhani wote tumeshuhudia nchi zote za NATO zilizokua na Air defence systems walizipeleka Ukraine ili kwenda kutengeneza umaarufu,lakini Kwa vile Urusi ni vichwa wakaona hakuna kuhangaika na ndege ngoma inachezwa chini kwanza.Baada ya Urusi kuzimaliza hizo air defense za NATO Leo hii anga la ukraine limekua.kama anga la somalia tu
Unafikiri Warusi ni wajinga?
Vita ni mbinu na akili,wakaona isiwe taabu mpira utachezwa chini kwanza.

kwa kifupi NATO na USA wao walikamata anga za nchi dhaifu mno hapa duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…