Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
@Joannah bn [emoji23][emoji23][emoji23] yani ka HB wako Mr Zelensky...Kwanza nitake radhi kwa kunivunjia heshima!narudia umenikosea Sana!Wewe uliwahi niona wapi Mimi Ni mshabiki wa Biden na NATO?tafuta sehemu naisifia USA nakupa laki Sasa hivi!yaani Kama ambavyo simpendi Mr zero ndio ambavyo simpendi Biden na NATO,yaani Sipendi mtu anayeleta ukiranja na unokounoko na ubabe wa kijinga kwenye mipaka ya wenzie....kila kitu kina mipaka na iheshimiwa.....by the way pambio ulilianza vizuri ukaharibu mwisho....Dah kwa hiyo leo hii Joan Mimi hapa ndio I know nothing concerning Inter-politcs?
Baada ya kubaini udhaifu mkubwa wa jeshi la Urusi ,Ukraine kuridhia kutojiunga na NATO ili amani ipatikane. Brave Ukraine inaweza kupambana na dhaifu Russian Federation "one to one". RF bonge la paper tiger.
^hitchhike^!!! Alilazimika KUDANDIA usafiri na kutoroka!!! 🙂 Alifanya maamuzi ya busara sana. Angekuwa marehemu kama yule deadliest snipper wa Canada aliyekaa uwanja wa vita hardly dakika 30, akazimwa.As a result, Pride hitchhiked to the border and left
Unabishana na mtu hana kifua cha kuhimili na kwake yeye swala la kukubali kutokubaliana ni msamiati,nasoma comment nacheka hatari.JF ya siku hizi full burudani😂🤣Kwanza nitake radhi kwa kunivunjia heshima!narudia umenikosea Sana!Wewe uliwahi niona wapi Mimi Ni mshabiki wa Biden na NATO?tafuta sehemu naisifia USA nakupa laki Sasa hivi!yaani Kama ambavyo simpendi Mr zero ndio ambavyo simpendi Biden na NATO,yaani Sipendi mtu anayeleta ukiranja na unokounoko na ubabe wa kijinga kwenye mipaka ya wenzie....kila kitu kina mipaka na iheshimiwa.....by the way pambio ulilianza vizuri ukaharibu mwisho....Dah kwa hiyo leo hii Joan Mimi hapa ndio I know nothing concerning Inter-politcs?
Ili Russia na NATO wapigane inabidi Russia amvamie member wa NATO na hapo Article 5 itatumika. Au NATO imvamie Russia. Unajua nimejibu nini pale, hakuna WW3 ndicho nimesema.Mzee unafikiri Russia hawajui zipo sana kwenye rada zao na wanajua zinakopitia unaichukuli Russia kama Tanzania hivi. Sema waangalie Russia atatumia silaha nzito zaidi zikaleta maafa makubwa zaidi.
Possibility ya WW3 ipo kimasihara hivihvi
🤣🤣Hizo sio habari za CNN wala BBC. Hizo ni observation tatizo lako la kuchukia hizo media lisikufanye uzisingizie kila taarifa inayotolewa. Hapo hujafatilia hata unachopinga mradi umeitaja NATO basi ushamaliza
I'm humbly requesting the mods to pin down this comment for our future generations to study & restudy!A mercenary from the UK stayed in Ukraine for only nine hours and escaped.
Jake Pryday himself, a NATO veteran, told 1843 Magazine about this. According to him, immediately upon arrival, he and other volunteers were told that they would undergo a five-day training, and then, regardless of their military experience, they would go to the front line.
The Briton spoke about the conditions offered to the mercenaries: they were settled in a room without heating, where there are 25 beds without sheets. And in the dining room, a breakfast of noodles and "a strange-tasting juice that smelled of gasoline" was served.
They promised to pay 7,000 hryvnias per month (about $230). All were offered an indefinite contract, under which they were not supposed to leave the country. “You are essentially signing your death warrant,” Pridey says. "I'm not interested in being a hero or dying."
He, like many others, refused to sign the contract: “For me, this is a hoax. They are selling you a dream. “You can help the Ukrainian people!” But then they throw you in the worst place possible in a war zone."
View attachment 2153643
As a result, Pride hitchhiked to the border and left.
Galip SV Liwagu
Kwa hiyo hizo shehena za AMERICANATO zinakuja kuanza kwenye Ground Zero? Mwambieni Joe Biden, Zelensky wajisalimishe; waokoe maisha ya raia wasiokuwa na hatia.Russian Su-25 Aircraft Destroys Military Warehouses of Ukrainian Forces
Russian Su-25 attack aircraft have destroyed military warehouses of the Ukrainian forces overnight, the Russian defence ministry said on Thursday.
Nilikupa somo juzi kuhusu uvumi wa kuwa Azebaijan aliiharibu S-300 ya Armenia sio wa kweli.Hizo S300 si ndo zilikua zinapigwa kwenye Vita ya Armenia na Azerbaijan. Kila kukicha zilikua zinalipuliwa na drones za Israeli na Turkey ambazo Azerbaijan walinunua.
Swali zuri Joannah... Nikuulize tena apo apo tangu 24th Feb uliwah kusikia western wanawaomba wakae chini wazungumze zaidi ya kutuma silaha kila leo?Hivi haya Mambo yalishindika kwa mediation kweli?Ila politicians Ni wabinafsi Sana.
Umenifanya nirudi kuangalia clip zake kama mbili tatu hivi,hilo la mkono ni kweli nimenotice.Putin hotuba yake leo inatisha raia wake. It seems hapendelei Warusi matajiri wanaoishi nje anaosema wako Westernized zaidi na anasema wengine wao watatumika kuisaliti nchi. Hao amewaita fifth column. Pia anasema anadhani 'purification' ya jamii ni necessary
Putin tangu mwaka jana kwenye hotuba ya mwaka mpya 2021 ulipoanza hakuwa anafanya movements za mkono wake wa kulia. Anauficha mpaka leo za zile gestures anatumia wa kushoto tu, wa kulia hautikisiki. Kuna observer mmoja tangu aseme hivyo siku hiyo huwa nauzingatia
hiyo ni screen ya kuonyesha ant tank guieded missile inaitwa stugna PHii ni nini mkuu
It's rather the opposite! AMERICANATO amemdanganya, amemchomea, amemuuza na kumdhalilisha Zelensky na Ukraine yake. Pathetic!Ha ha ha acha kujifarij zelensky kawazalilisha nato. Dunia imeshuhudia udhaif na uwoga wa marekani mbele ya urusi ha ha ha ha hata mimi nimestuka kwa kweli ndio maana juzi iran imejipigia tu vikambi vya marekani
Mojawapo ya mifumo ya ulinzi hiyo ni kuzuia makombora. Wakipewa drones zitaenda zuia artillery na MRLs. Sasa kama Ukraine wana TB2 peke yake wanaihangaisha hivi Urusi ingekuwaje wawe na drones za Israel.Ukraine ikipewa mifumo ya Ulinzi na ikafanikiwa kuzidhiti ndege za Urusi nadhani Urusi itaanza kutumia makombora zaidi yatakayo fanya uharibifu mkubwa sana kuliko hata hizo ndege.
Mimi nadhani waongee kila upande ujaribu kulegeza mashariti yake ili vita hii hiishe ndio jia pekee ya kuinusuru Ukraine mengine ni kujifariji tu.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Kumbe ni likes 20+ k only si zote zinatoka ndani ya Russia,mbona kuna clips kibao za Ukraine zina likes mara 4 ya hizo na hatuoni ajabu🙂.Video ya leo ikionesha rubani wa ndege ya kivita wa jeshi la Russia akiingia kwenye ndege na kwenda kushambulia targets ndani ya Ukraine. Watu 20,000 wame-like video, huku wengine kibao wakisifia kazi nzuri na ya lazima ya kulinda usalama wa nchi ya Russia ifanywayo na wanajeshi wa Russia nchini Ukraine
View attachment 2153370
Hawataki kusikia hii hoja hata kidogo,watakujia na ile sababu ya" Russia hatumii nguvu sana katika hii vita"Hii vita ilitakiwa iwe imeisha kama Russia ni superpower na anapigana na ka Ukraine ambako ni the poorest country in Europe. Sasa unashindwa maskini kina Ukraine silaha zenyewe wanaombaomba uje uwezane na kina muungano wa kina Germany, France, UK, etc.