Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

wakae kwakutulia kenge hawa
VIVA PUT IN
 
PUT IN natoa dozi kulingana na ugonjwa nahali alonayo mgonjwa
VIVA PUT IN
 
Halafu Mimi sina timu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwangu nyeusi ni nyeusi ?
Kwa mie binafsi kinachonifanya nijitenge na Ukraine ni pale unapokutana na hii list inampa Backup kwa nguvu zote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

1. Bush (Na sasa nasikia kaenda Ukraine)
2. IRGC (Islamic Revolutionary Guard Corps) unaeza chimba deep kuwajua vizuri.
3. Biden (Huyu mwanae anahusishwa na Issue kadhaa zilikuwa zinaendelea apo Ukraine)
4. Soros
5. Pelosi
6. Hillary
7. Obama
8. Macron
9. Trudeau
10. The CIA
11. Romney
12. Hollywood Stars [emoji23][emoji23][emoji23]
13. "Fact checkers"
14. Media [emoji847]
15. MEdia [emoji23]
16. MEDia [emoji848]
17. MEDIa [emoji2958]
18. MEDIA [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Apo kuna wengine wengi sijawataja so ukiona hiyo list lazima ujishtukie juu ya uhalisia wa jambo lenyewe... Hiyo list hakuna msafi hata mmoja. Na wote apo ni ma'Opportunists wazuri mno...

Unaanza kujiuliza "motives" zao n nn... Ukiunganisha na hizi "Punics" wanazozionesha kabisa kabisa najiweka mbali kbs nisije nunua Ugonv usio nihusu kuziumiza hisia kwa chuki kumchukia asiye na hatia...

THE WORLD is FULL of ILLUSIONS... Most of what we have now are just "Perspectives" not a "Truth"...
 
LoL ila wahindi ni marafiki wa dhati kabisa wa Urusi ,wanamisimamo thabiti,
Pia Brics inchukua nafasi hapa
Nimewapenda bure
 
Alafu utakuta huyo kuanzia viatu Hadi barabara analotembelea imeandikwa kwa msaada wa watu wa Marekani.
Hakuna msaada au Jambo lolote la maana unaweza kupata kutoka Russia.

Russia ni wabinafsi sana kuhusiana na transfer of Technology.
usipende misaada pambane upate vyako
VIVA PUT IN
 
Aliyasema JF? Blinken yuko JF hapa. Humu JF hatujawahi sema Ukraine ashinde, ugomvi wetu ni performance mbovu ya Russia. Humu hatujawahi jadiliana na Antony Blinken. Unaniulizaje kauli za mtu mwingine, muulize yeye
RUSSIA hana perfomance mbovu anaupiga mwingi kama inavyotakiwa
na anaplay smart sana yupo mwenyewe anaipiga nchi kubwa kieneo naambayo inapata sapot kutoka kwawakubwa nahili hawajalificha hao wakubwa
IRAQ na LIBYA zilisaidiwa nanani?
IRAQ na LIBYA ziliekewa mpak No fly zone ila kwa UKRAINE hawajaekewa
IRAQ na LIBYA walipigwa namataifa zaidi ya 15
VIVA PUT IN
 
Self defeating statement, huoni mwamba ameandika neno 'SIDHANI'. Sote tulijua ndani ya wiki Ukraine kutakua na raisi mpya, mwezi umepita bado dwarf Putin anahangaika [emoji16][emoji16]
sote na nani?
musitujumuishe kwenye mawazo yenu ya hovyo
 
waache walalame sisi tutakapojua wamejificha tutapeleka moto
hata kama kuna wazee nawatoto watakua wameponzwa na rangi zao
 
taarifa kutoka vyanzo vya israel na magharibi zinasea kuwa mkuu wa shirika la ujasusi la urusi FSB Colonel-General Sergei Beseda yy na makamu wake wamewekwa kizuizini huko urusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…