Halafu itokee ana macho mekundu, huko usukumani sijui kama ange-survive. Just with a light touch fellows, msigune.Huwa najiuliza asingesoma angekuwa wapi?
Aliyemuweka keshaondoka anajuwa mwisho wake waja 2025Spika wa Mchongo!
Mjinga sn huyo bibiHalafu itokee ana macho mekundu, huko usukumani sijui kama ange-survive. Just with a light touch fellows, msigune.
Nina hakika hayo aliyoyatamka yametoka moyoni. Fikiria kwa kumkosoa tu Magufuli, Mh. Tundu Lissu alimiminiwa risasi za kumuangusha tembo!
Ne yeye Tulia katimiza analoweza kwa urefu wa kamba yake!
Hatari snTatizo ni kuwa, kwann mabalozi wamepuuza na kwenda kuongea na SUGU😃😃😃😃
Mkuu umewahi kuona wapi vijana wa ccm wakafikiri au kutafakari kitu?Tatizo kubwa liko kwa hao vijana wanao ambiwa maneno kama hayo na wanashangilia kuonyesha wameridhika na kulipokea kabisa
Wakifanya tofauti siwanakosa nafasi uko kwenye uwanja waoMkuu umewahi kuona wapi vijana wa ccm wakafikiri au kutafakari kitu?
Wao hawana kuchuja kitu, kila itu kwao ni ndiooooooo na kushangilia!
Ametoa AMRI Kwa uvccm Yeye akiwa kiongozi wao, AMRI ya kijeshi.Lakini katoa maoni yake tuu. Wala sio amri
Rwanda kule hata Uhuru wa kuabudu wamepokwaRwanda huruhusiwi kisheria hata kuchora katuni ya kumdhihaki kiongozi yeyote wa mihimili yote mitatu bila kujali wa juu au chini
Wanaruhusu kuongea kistaarabu tu hawataki Matusi
Mfano nimekwambia wewe Raisi Bwege pointi gani ya maana nimeongea hapo?
Tulia yuko sahihi tufike mahali tuongee pointi tu sio matusi
kwasababu ya njaa,kutoelewa athari ya kauli hiyo,au kujipendekeza vijana wanashangilia et lakini hawajuwi wakifanya hayo ndg atakayenyoshwa anandg pia je wataridhika?Wakuu nawaletea kideo, spika wa bunge akiwataka vijana kushughulika na yeyote anayemsema vibaya Rais, Mbunge, Diwani au Mwenyekiti wa mtaa kwa tiketi ya CCM.
Hivi karibuni kuna ndugu wa Temeke alisema wao kazi yao ni kuwashugulikia wakosoaji na wazee watawaombea radhi kwa watanzania.
Sijui nataka niseme nini ila pateni kideo hapo.
View attachment 2375676
========
Akihutubia Vijana wa CCM katika Jimbo lake, Mbunge wa Jimbo ya Mbeya Mjini ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewataka vijana wa Jimbo hilo kutoshiriki katika Kumsema vibaya, Rais na Viongozi wa Jimbo hilo
Amesema, “Isitokee Kijana yeyote anaungana na mtu yeyote anayemsema vibaya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Rais Samia ni Rais wa Nchi lakini pia ni mwenyekiti wa Chama chetu. Asitokee mtu yeyote wa Nje ya Chama, wa Ndani ya Chama akawa anamsema vibaya Rais halafu wewe ukamtazama, shughulika naye, CCM hoyeeeee”
Ameendelea, “hata mimi Mbunge wako akiwa ananisema vibaya nyooka naye, unajua sababu ni nini? Hata Diwani, Madiwani wote wa Mbeya Mjini sasa hivi ni CCM, hata akimsema vibaya Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, na yeye ni CCM, nyooka naye’
Nilikuwa nakuheshimu sasa nimeghairi wewe unaunga mkono uvunjifu wa sheria.Wakuu nawaletea kideo, spika wa bunge akiwataka vijana kushughulika na yeyote anayemsema vibaya Rais, Mbunge, Diwani au Mwenyekiti wa mtaa kwa tiketi ya CCM.
Hivi karibuni kuna ndugu wa Temeke alisema wao kazi yao ni kuwashugulikia wakosoaji na wazee watawaombea radhi kwa watanzania.
Sijui nataka niseme nini ila pateni kideo hapo.
View attachment 2375676
========
Akihutubia Vijana wa CCM katika Jimbo lake, Mbunge wa Jimbo ya Mbeya Mjini ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewataka vijana wa Jimbo hilo kutoshiriki katika Kumsema vibaya, Rais na Viongozi wa Jimbo hilo
Amesema, “Isitokee Kijana yeyote anaungana na mtu yeyote anayemsema vibaya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Rais Samia ni Rais wa Nchi lakini pia ni mwenyekiti wa Chama chetu. Asitokee mtu yeyote wa Nje ya Chama, wa Ndani ya Chama akawa anamsema vibaya Rais halafu wewe ukamtazama, shughulika naye, CCM hoyeeeee”
Ameendelea, “hata mimi Mbunge wako akiwa ananisema vibaya nyooka naye, unajua sababu ni nini? Hata Diwani, Madiwani wote wa Mbeya Mjini sasa hivi ni CCM, hata akimsema vibaya Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, na yeye ni CCM, nyooka naye’
Hakuna kitu kama icho sikiliza mpaka mwisho alichokisema tulia hakumanisha kama watu walivyomanishaKwamba imebidi Tulia atoke nduki kumkimbiza mdude alosepa na nguo zake?
Chama Cha Mapunduzi kimeamua kuyatumia MAPANGA yalotumika ktk Mapinduzi enzi zileee!
Tulia ametangaza vita kupitia Jeshi la uvcc!!!!
Hii video umeikata mkuu Tulia hakumanisha ivo sikiliza original videoWakuu nawaletea kideo, spika wa bunge akiwataka vijana kushughulika na yeyote anayemsema vibaya Rais, Mbunge, Diwani au Mwenyekiti wa mtaa kwa tiketi ya CCM.