Ndivyo ilivyo huwezi kukubali boss wako asemwe vibaya all in all mkubwa lazima aheshimiwe kwa gharama yoyote na sio utamaduni wetu sisi watanzania kumsema rais vibaya japo kuna wachache miongoni mwetu wanakengeuka na kujitoa ufahamu
Toa mfano wa kumsema vibaya ili tusijechanganya na kumkosoa.
 
Kauli ya kijinga kabisa toka kwa mtu aliyelewa madaraka. Kauli hii ingetolewa na kiongozi wa Chadema tayari saa hizi angekuwa mikononi mwa polisiccm
 
Sikujua kuwa betina ni mpuuzi kiasi hiki
 
Bunge la Tulia kamwe haliwezi kuikosoa na kuirekebisha serikali, ni rubber stamp na limepoteza credibility yake
 
Betina ndio wale wale hana jipya
 

Rais ana nguvu na mamlaka makubwa sana nchi hii. Usione anawachekea mkamuona kama mnalingana. Ijue vizuri nchi yako.
 
Allah SW atusaidie
 
Hii ndio shida ya kuokoteza viongozi. Kuna vyeo watu wanalelewa, unasomeshwa,unafanyiwa vettting toka chuo. Sio kijitu kinaibuka spika
Tanzania haina mfumo mzuri wa kuandaa viongozi, nafasi nyingi wanapewa wahuni na walafi huku watu wenye uwezo wanaachwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…