Swali: Dunia bila Mwanaume je nani angemlinda Mwanamke?

Hii Dunia ya Mungu ilikuwa na amani tu alipokuwa adamu peke yake pale bustanini,japo nyoka alikuwepo pia,lakini kila kiumbe kilitambua mipaka yake,

ghafla akatokea Hawa,huyu kiumbe akaja akaharibu kila kitu,akapiga colabo na nyoka wakaharabu amani ya Adam

mwamba akaambiwa ataenda kulima na atakula Kwa jasho Kali la kwapa linalonuka Kwa jua la saa 7 mchana

hii ni stori ya Israel huko,Inayokuonesha kuwa mwanamke hajawahi kuitunza amani ila ni mvurugaji toka mwanzo,sasa pata picha wangekaa peke Yao ingekuaje?
 
Unachosema ni sahihi, kiujumla binadamu (wote wa kike na kiume) ndio viumbe waharibifu zaidi katika dunia na wanaume ndio viumbe waharibifu zaidi kati ya jinsia mbili.

Hata hivyo kama kusingekuwa na wanaume kusingekuwa na suala jinsia kabisa, binadamu waliopo wangekuwa hawana tofauti na uyoga.
 
Haujafika kwenye mzizi wa tatizo ambao ni mamlaka.

Wanaume wamekuwa wakishikilia nafasi za mamlaka tangu enzi na ni kweli, maamuzi mabaya yamefanyika.

Lakini unatakiwa uelewe kwamba yeyote anayemiliki mamlaka, hata kama ana nia nzuri kiasi gani, lazima atashawishika kuyatumia vibaya. Hii ni asili ya binadamu, kwamba binadamu haishi kukengeuka.

Ndio maana kuna wanawake kibao wapo kwenye Chama Cha Mazinguzi wanasemwa kwamba ni wabadhilifu. Wanawake huo wema mnaojipa nyie hamna.
 
Wanawake hawa hawa wanaochambana mbele za watu kwa mambo ya kipumbavu oumbavu eti ndio anataka kutuambia wangekua peke yao duniani kusingekua na vita
 
Kwanza adui wa mwanamke ni mwanamke

Anataka tubaki maadui tupu?
Bila hata uadui wa wenyewe kwa wenyewe. Wewe mwenyewe tu kama mwanamke ongea ukweli. Hivi duniani mngekuwepo wanawake watupu, kizazi cha binadamu kingekuwepo mpaka leo kwenye uso wa dunia?

Ondoa wanaume. Wanawake mngeweza kuya-brainstorm magonjwa yote kama covid, ebola n.k na kupata kinga au chanjo zake?

Ondoa wanaume, wanawake mngeweza kutengeneza teknolojia za ku-predict majanga kama matetemeko ya ardhi na vimbunga ili kuwatahadharisha watu mapema?

Tatizo la huyu akili fupi akisikia ulinzi anajua bodyguard kama wale wakina mwarabu fighter, na ukitaka kujua hana akili subiri majibu yake akianza kujibu comments za watu. Nakwambia aibu utaona wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…