Swali gani gumu ulilowahi ulizwa na mtoto mdogo?

haha ukamjibu vipi
Nikamwambia sisi Binadamu tumezaliwa....... Akaniuliza tena Mbona Mchungaji Kanisani anasema sisi tumeumbwa na Mungu?

Akakazia tena swali lake...... "Kwa hiyo Baba SISI tumezaliwa au tumeumbwa na Mungu? "
 
Niliseti mipango ya kwenda kuchepuka mida ya saa mbili usiku.

Nikamuaga mama mtu, nikiwa natoka dogo akaniuliza "Baba unaenda wapi?" Nilinyong'onyea na kuchepuka sikwenda.
Vizuri umempa malaika wa Mungu heshima yake.
 
Osmosis
 
Sikutaka kuandika so many details kwa kilichoendelea ila kama mzazi lazima nilichukua hatua nyingine. Ila kubwa ilikua hyo ya kumuhamisha chumba
Inawezekana kuna siku alishawahi kuwapiga DEO huyo.

Bora tu umemuhamisha.
 
Unakwenda wapi kiongozi? Ili siku nyingine nisijekosea swali hili tena? Vipi akina Musa na Ibarahim wako wapi mpaka sasa?
Wako chini, wanasubiri taraumbeta.😀😀😀😀
 
Hivi kwa nini Rais hashitakiwi?Niliulizwa
 
Amuitaji refa mkuu
 
Mwanangu akiwa na miaka saba kipindi nna mimba ya Mdogo wao aliniuliza mama mbona tumbo lako kubwa hivo.Nlimjibu tu nimekula Sana.Basi alikua ananiuliza mara Kwa mara sa ingine nimekaa kwenye Kochi anakuja kukaa na Mimi analishika anauliza tena.Siku moja nikamwambia Tu humu kuna mtoto.Hakuuniuliza tena.Dah kuzaa watoto washakua unaulizwa maswali mengi kuhusu tumbo.Ndo nshamaliza she's now 8yrs hiyo ilikua mwaka Jana.
 
kiliniuliza hivi bamdogo mbona baba anamlalia mama kila siku kwa nn, ?

Nikamjibu ukiwa mkubwa utajua subili ukue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…