Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Ona Aibu,unaripua ukiwa Gerezani!Je,
aliekubeba ufala wa kifikra na kukushawishi wewe na kaka yako mkawa kama wendawazimu na kwenda kulipua vituo vya mafuta, kuchoma vituo vya polisi, ofisi za umma na makazi ya watu, na mkadhani maafisa usalama watawakenulia tu, ni nani hasa miongoni mwa AZAKI?
Na ndugu waliopotezwa nayo ni AiNa akijibu kama Heche alivyokataa video yake kwa kudai ni AI?
Sijui lihaya la kijiji gani hili! ππ Kuandika halijui, lakini linatukana watu humu eti wapumbavu."heti"
"hiwe"
Nenda shule kwanza
Nani mwenye mamlaka, kutangaza Hali ya Hatari?Mshamba huyo , kakazania kila siku jambo hilo hilo ..Anafikiria askari hawana akili , wanajua miongozo ya nchi yao , walitaka yatokee madhara ili wapate point za kisiasa.
TEC nao wameacha kuhamasisha maandamano tena , wanaanza kuzungumzia vurugu ...Hawa ni kupiga shaba tu , watu wachache wafanye fujo kwa kujiamulia , mpaka kuharibu mali waangaliwe tu .
Ni majibu ya IGP akiwa kizimbani au ni majibu yako ukiwa kijiwe cha gahawa.Je,
aliekubeba ufala wa kifikra na kukushawishi wewe na kaka yako mkawa kama wendawazimu na kwenda kulipua vituo vya mafuta, kuchoma vituo vya polisi, ofisi za umma na makazi ya watu, na mkadhani maafisa usalama watawakenulia tu, ni nani hasa miongoni mwa AZAKI?
Hawezi kukujibu.Nani mwenye mamlaka, kutangaza Hali ya Hatari?
Wewe nani kamhoji IGP? Mlitegemea kufanya uasi mkiamini mngefanikiwa? Washenzi nyie rudieni muone!Swali la pili.
Nani alikupa ruhusa ya kutangaza hali ya hatari.
Nchini Tanzania, mtu mwenye mamlaka ya kutangaza hali ya hatari ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mamlaka haya yamefafanuliwa kisheria chini ya Ibara ya 32 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.
Mambo ni mengi.
Km we siyo boya zaidi yake jaribu kuwadhuru,Huyu boya wadogo zake wa Damu wanakaa Ubungo Kibangu, kumpa maumivu ni Dakika chache sana ni vile watu wanamtaka mhusika halisi.
Maswali mengi ila mmeshapigwa.Nani mwenye mamlaka, kutangaza Hali ya Hatari?
Na nani, waliokimbia nchi.Maswali mengi ila mmeshapigwa.
Ah jibu rahisi tu. "Uchunguzi unaendelea"Na ndugu waliopotezwa nayo ni Ai
Weka ushahidi, au umeskia ka watu?Swali la pili.
Nani alikupa ruhusa ya kutangaza hali ya hatari.
Nchini Tanzania, mtu mwenye mamlaka ya kutangaza hali ya hatari ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mamlaka haya yamefafanuliwa kisheria chini ya Ibara ya 32 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.
Mambo ni mengi.
kwani hayo mauwaji yalifanywa na rahia??Haya Maswali unamuulizia wapi? Maana Kesi ya Lissu ni ya Uhaini haisiani na Polisi
Heche alipoulizwa kuhusu miamala ya kibenki ilikuwa inahusiana na money laundering?Haya Maswali unamuulizia wapi? Maana Kesi ya Lissu ni ya Uhaini haisiani na Polisi
hapana sio majibu,Ni majibu ya IGP akiwa kizimbani au ni majibu yako ukiwa kijiwe cha gahawa.
Uchunguzi gani unaendelea wakati tume ilisema watu 519 waliuawa.Ah jibu rahisi tu. "Uchunguzi unaendelea"
Mimi nitafute public sympathy kwako au hujui maana ya neno sympathy mr 'recture'.hapana sio majibu,
ni maswali yako useless ukiwa una mbwelambwela na kutafuta kiki na public sympathy JF π
ok,Mimi nitafute public sympathy kwako au hujui maana ya neno sympathy mr 'recture'.
Ushahidi wa nini.Weka ushahidi, au umeskia ka watu?
Siyo Tension ni Attention, nitachoka kukufundisha.ok,
relax bas gentleman ikiwa hutafuti tension π