BIG BROTHER ALEX
JF-Expert Member
- Sep 24, 2025
- 1,293
- 2,265
Ajabu ni kwamba binadamu wengi wanahusudu zaidi Magharibi kuliko Afghanistan!😄😄😄
Taleban ndio kiboko ya wanawake sitetei hizo Sheria zao lakini sababu Moja wapo inayo changia Dunia kwenda mrama ni kumpatia mwanamke Uhuru uliopitiliza
SI KWELI huo ni UTARATIBU WA WATU walio jiwekea kwenye JAMII yao UKIONA haukupendzi SI unaondoka MBONA easy SANA marekani Kuna Muslims na hata ulaya wanapokelewa tuHii ni gender based violence (GBV) plus child abuse! haikubaliki acha UN waingilie kati 😢
Hao Wafghanistan wenyewe wanakimbilia Magharibi ambapo wanawake ni huru na wanahesabika kuwa binadamu sawa na mwanaume.Binafsi nawaunga mkono Taliban na NCHI yoyote ya kiislamu, inayo simamia sharia KUHUSU wanawake, ni hatari SANA KUMPA uhuru mtoto WA kike, NAOMBA MUNGU SANA SIKU MOJA INSHAALLAH nipate mwanamke MWENYE kujistiri, SAWA SI Mwisho WA uovu kama kuchapiwa NK ila inaleta AMANI kwenye familia angalau
Kaka UKO SAWA, mambo ya kukatana mapanga unadhani KISA ni niniTukiweka mihemko ya kidini pembeni hii sheria inahitajika sana Tanzania kuja kuirudisha jamii iliyopotea kwenye mstari.
Hawa jamaa tunawachukulia powa kwa sababu ya record zao mbaya sana lakini sheria kama hizi ni muhimu na nzuri sana.
Wazungu wameharibu dunia, yani mwanamke anapewa kipaumbele cha kwanza, halafu mtoto, anakuja mbwa then wewe Baba ni wa mwisho.
Hi mentality ya 50 kwa 50 ni upuuzi mtupu, ubatili na ukafiri.
Tusiangalie haya mambo kwa mlengo wa kidini, kama Waislamu wana sheria za kuionyoosha jamii kuirudisha kwenye mstari hivyo ndio vitu vya kuiga kutoka kwenye Uislamu.
Humu wengi ni mashahidi hata kifo cha member mwenzetu Le Mutuz kimechangiwa na mke wake na watoto wake mwenyewe kwa malezi ya hovyo ya Kikafiri Marekani.
Imagine mtoto wako wa kumzaa anakwambia "Kiss my di**" tena live kwenye mtandao utajisikiaje?
Hebu tuangalie Biblia inasema nini?
Mithali 13:24
Yeye asiyetumia fimbo yake humchukia mwanawe; Bali yeye ampendaye humrudi mapema.
Kaka hauko SAWA una MAANA India china hakuna ushoga? Acha tuishie hapoNakubaliana nawe kwa asilimia 100.. Wanasema hakuna cha bure duniani..
Kwa uduni wetu wa fikra na maono (tuna kila kitu lakini hatuna akili..) Sorry to say this!
Ndio maana wamefanikiwa vilivyo kupenyeza ajenda zao za siri zikiwemo usagaji na ushoga
Wameshindwa kufanya hivyo India na China kwa sababu zilizo wazi.. KUJITAMBUA!
SASA HIYO NI UAMUZI WA MTU MWENYEWE, UNA MANISHA WOTE WALIOBAKI AFGHANISTAN HAWAPATAKI WANATAKA KWENDA ULAYA? KUNA WENGINE WAMERIDHIKA NA UTARATIBU ULIOWEKWA NA MAISHA YANAENDELEA MKUU BILA HATA SHIDAHao Wafghanistan wenyewe wanakimbilia Magharibi ambapo wanawake ni huru na wanahesabika kuwa binadamu sawa na mwanaume.
Hiki ndicho nilichoandikaKaka hauko SAWA una MAANA India china hakuna ushoga? Acha tuishie hapo
Waliobaki wengi wanataka kwenda ila hawana uwezo au fursa za kuondoka Afghanistan.SASA HIYO NI UAMUZI WA MTU MWENYEWE, UNA MANISHA WOTE WALIOBAKI AFGHANISTAN HAWAPATAKI WANATAKA KWENDA ULAYA? KUNA WENGINE WAMERIDHIKA NA UTARATIBU ULIOWEKWA NA MAISHA YANAENDELEA MKUU BILA HATA SHIDA
Ushoga sio ajenda ya siri ya Magharibi, wala hata sio ajenda kabisa.Hiki ndicho nilichoandika
Ndio maana wamefanikiwa vilivyo kupenyeza ajenda zao za siri zikiwemo usagaji na ushoga
Wameshindwa kufanya hivyo India na China kwa sababu zilizo wazi.. KUJITAMBUA!
Maana yangu ni kwamba agenda ni nyingi hizo ni mifano tuu
Hayo mataifa ya mashoga na wasagaji wengi tuu lakini msimano wa taifa unasemaje?
SI KWELI MKUU, KWANI KIPINDI KILE HUKUSIKIA WATANZANIA WAME KWANMA SUDANI, NA VITA KULE NI DAILY?Waliobaki wengi wanataka kwenda ila hawana uwezo au fursa za kuondoka Afghanistan.
Kwa nini hakuna Watanzania wowote wanaoenda kuishi au hata kutembelea Afghanistan?
Wakati unawapa 5 Afghanistan kwa kuwadhibiti wanawake ufikirie pia na kiwango cha ulawiti kwa watoto wadogo wa kiume huko hukoBinafsi nawaunga mkono Taliban na NCHI yoyote ya kiislamu, inayo simamia sharia KUHUSU wanawake, ni hatari SANA KUMPA uhuru mtoto WA kike, NAOMBA MUNGU SANA SIKU MOJA INSHAALLAH nipate mwanamke MWENYE kujistiri, SAWA SI Mwisho WA uovu kama kuchapiwa NK ila inaleta AMANI kwenye familia angalau
Sudan haijawahi kuwa na sheria za wanawake kama za Afghanistan.SI KWELI MKUU, KWANI KIPINDI KILE HUKUSIKIA WATANZANIA WAME KWANMA SUDANI, NA VITA KULE NI DAILY?
Hizo nchi hazitaki uislamu wa itikad Kali na zinaendeshwa kimagharibiHizi Nchi zote ulizozitaja zinaruhusu wanawake kwenda shule kusoma, kufanya kazi hadi za waandishi wa habari na hazina Sheria ya kupiga wanawake.
KAMA NI KWELI BASI HAPO SIMPO NIPO KWA HAO MABINTIWakati unawapa 5 Afghanistan kwa kuwadhibiti wanawake ufikirie pia na kiwango cha ulawiti kwa watoto wadogo wa kiume huko huko
Afghanistan watoto wa kiume wanalindwa kuliko wa like kwakuwa unyanyasaji wa kingono kwa watoto wa kiume uko juu mno
NI KWELI NILITAKA TU NIKUONESHE KUWA KUSEMA WATU HAWAITAJI KWENDA AFGHANISTAN SI KWELI MI NI MMOJA WAPO NAE HITAJI KUISHI KULE MKUU, WANAWAKE WANATUMALOZA SANA BILA KUJUA MKUU SABABU YA UHURU KUPITILIZASudan haijawahi kuwa na sheria za wanawake kama za Afghanistan.
Watalii..😀Ushoga sio ajenda ya siri ya Magharibi, wala hata sio ajenda kabisa.
Kwa nini Zanzibar ambapo 99% ni Waislamu kuna ushoga??
Acha kudanganya watu humu, ukipewa Visa ya Canada au Afghanistan,na 100% utaikimbilia ya Canada ,NI KWELI NILITAKA TU NIKUONESHE KUWA KUSEMA WATU HAWAITAJI KWENDA AFGHANISTAN SI KWELI MI NI MMOJA WAPO NAE HITAJI KUISHI KULE MKUU, WANAWAKE WANATUMALOZA SANA BILA KUJUA MKUU SABABU YA UHURU KUPITILIZA
Nini kinachokuzuia kwenda Afghanistan kuishi?NI KWELI NILITAKA TU NIKUONESHE KUWA KUSEMA WATU HAWAITAJI KWENDA AFGHANISTAN SI KWELI MI NI MMOJA WAPO NAE HITAJI KUISHI KULE MKUU, WANAWAKE WANATUMALOZA SANA BILA KUJUA MKUU SABABU YA UHURU KUPITILIZA