figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Hii mumeambiwa ni hadi kesho. Kuna matengenezo makubwa yanafanyika. Pole sana.. Ndo natoka kuogelea sasa na nimekuta usharudi umeme. [emoji474][emoji474]TANESCO this is too much jamani jana tangu asubuhi mpaka sasa hakukua na umeme... leo pia kuanzia asubuhi mpaka muda huu. hii nchi ya viwanda inakujaje kweli??? wenye biashara zinategemea umeme wanaishije kwa hii kata umeme?? mtu unasema weekend upumzike nyumbani ukiamka tu hakuna umeme.Last weekend ilikua hivyo pia.. achana na siku za katikati ya week ambayo kwa upande wangu nakua katika mihangaiko ya maisha
INAKERA SAAANA
Kwanini umeenda mwenyewe??Hii mumeambiwa ni hadi kesho. Kuna matengenezo makubwa yanafanyika. Pole sana.. Ndo natoka kuogelea sasa na nimekuta usharudi umeme. [emoji474][emoji474]
Kwani bado haujarudi?. Angalizo, usijifanye fundi ukaanza chokonoa mita na kugusagusa waya. usikanyage Waya wala kusogelea nguzo zilizo anguka. Toa taarifa tanesco namba zipo hapo juu.Kwanini umeenda mwenyewe??
Nimechoka zaidi kukutana na hiyo habari kuwa tutalala giza Leo. hapa nilikua nahesabia kuwa Karibu unarudi.
umerudi sasa.Kwani bado haujarudi?. Angalizo, usijifanye fundi ukaanza chokonoa mita na kugusagusa waya. usikanyage Waya wala kusogelea nguzo zilizo anguka. Toa taarifa tanesco namba zipo hapo juu.
Simu ulizima ndo maana. Wkend ijayo usikose.
Mkuu mbona kimya? Hujanipa jibu mpaka leo wala simu hujapiga.Tumeipokea mpendwa mteja
Shirika la ajabu sana hili! Kungekuwa na ushindani haya yote yasingekuwepo!hivi kuna mgao wa umeme wa kimya kimya?
Hahaaa. Hapo lazima legacy ya le proffesseri ikumbukwe. Akiwa waziri hakukutokea mgao wa aina yoyotehivi kuna mgao wa umeme wa kimya kimya?
Makonda kabeba meli nzima yenye madaktari na vifaa kutoka china kaitua kichwani jana tu.Hivi kwa nini TANESCO wameshindwa kutuwashia umeme wa uhakika huku Goba Kinzudi?kwa nini umeme hauna nguvu na hamtuongezei transformer?hivi Magufuli angekaa huku mngeacha low voltage hiyo?kweli?unatuharibia vifaa vyetu kwa kweli na tumewaomba hamtaki kutusaidia. Na hivi mnabomolewa jengo si ndio hali itakuwa ngumu zaidi? Moderators please uzi huu uachwe ujadiliwe na tupate majibu
Naomba kuuliza, kuhusu maeneo ya Dar,kivule (Bombambili) kuna kipande karibu na mwisho zinapoishia daladala mmesimaisha nguzo tu na hakuna chochote kinachoendelea karibu mwaka sasa. Tatizo ni nini?
Hivi kwa nini TANESCO wameshindwa kutuwashia umeme wa uhakika huku Goba Kinzudi?kwa nini umeme hauna nguvu na hamtuongezei transformer?hivi Magufuli angekaa huku mngeacha low voltage hiyo?kweli?unatuharibia vifaa vyetu kwa kweli na tumewaomba hamtaki kutusaidia. Na hivi mnabomolewa jengo si ndio hali itakuwa ngumu zaidi? Moderators please uzi huu uachwe ujadiliwe na tupate majibu
Wilaya ya Ilala,kivule,Bombambili. Namba 0714248990Tumelipokea mkuu,Ipo wilaya gani na namba yako ya simu