Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari ndugu mteja ahsante kwa kuwasiliana na TANESCO huduma kwa wateja na pole kwa changamoto, ombilako lenye namba 021023-0921 na jina AUREUS CHARLES NDIMBO, lipo hatua ya kuunganishwa na huduma wakati wowote kuanzia sasa watalamu wetu watakufikia na kukupatia huduma.^OK
Habari ndugu mteja asante kwa kuwasiliana nasi na pole kwa changamoto hiyo, tunashauri endapo mkipata changamoto hiyo ni vyema mkazima vifaa vya umeme ili kuepusha uharibifu.^OKKwa nini mnaleta umeme mdogo hasa maeneo ya Dar, inafika hatua fridge guard hairuhusu umeme unakuwa mdogo hadi uunganishe direct, na vifaa kama feni vinakuwa havina nguvu.....au mna kampeni ya kutuharibia vifaa, ukichukulia hivi vifaa vinanunuliwa kwa bei ghali.
Toa ushauri, huu umeme mdogo ni salama kwa matumizi ya vifaa au tuzime tusije ingia hasara.
Habari ndugu mteja asante kwa kuwasiliana nasi na pole kwa changamoto hiyo, tunashauri endapo mkipata changamoto hiyo ni vyema mkazima vifaa vya umeme ili kuepusha uharibifu.^OK
Usijali. Mimi kama mkurugenzi wa Tanesco, nitakuwa nawawekea Updates za hiyo game hapaKutukatia umeme huku Nzuguni Dodoma wakati tunajitayarisha kuangalia mpira final ya AFCON maana yake nini jamani!!!! Mnaudhi kweli!!!