Tanga: Mwanaume anyanyaswa na mwanamke kwa miaka 7

Mtu anapesa za kumfungulia biashara maduka manne, kumnunulia gari na bado anadeki nyumba! Hakua na uwezo wa kuweka mfanyakazi wa ndani?
 
Mtu anapesa za kumfungulia biashara maduka manne, kumnunulia gari na bado anadeki nyumba! Hakua na uwezo wa kuweka mfanyakazi wa ndani?
Ogopa limbwata
Kuna mzee mmoja mahali ilikuwa wadada wa kazi wapo lakini lazima ataosha vyombo tu na kuwawashia mkaa.
Au atamwambia hebu sogea nkusaidie haraka ...hapo anasonga ugali fasta atenge.
Au kufua nguo lazima afue tu wakat wadada wapo
 
kwani utelezi unaupata kwenye ndoa pekee
Utelezi wa ndoa ni nyama kwa nyama 100% huko kwa malaya unapata utelezi huku una vaa soksi mara mawazo ya ukimwi,gono,kufumaniwa kuombwa pesa kwa lazima.
Utelezi wa ndoa una raha yake aisee!!
 
Utelezi wa ndoa ni nyama kwa nyama 100% huko kwa malaya unapata utelezi huku una vaa soksi mara mawazo ya ukimwi,gono,kufumaniwa kuombwa pesa kwa lazima.
Utelezi wa ndoa una raha yake aisee!!
Hoja mfu kabisa. UMEOA ILI UFATE NYAMA KWA NYAMA ?
 
Hoja mfu kabisa. UMEOA ILI UFATE NYAMA KWA NYAMA ?
Ndio malengo makubwa ya kuoa nile nyama kwa nyama,nipate watoto na msaidizi wa mambo madogo madogo.
Lakini kubwa zaidi ni nyama kwa nyama kisha watoto na uzao kuongezeka.
 
Kataa ndoa ,ndoa ni utapeli tena wa waziwazi , utapel unaosimamiwa na mashirika na mkono wa serikalini hauwezi epuka zaidi ya kuepuka mtego wa ndoa , neno ndoa limetokana na neno ndoana yani unavuliwa kama samaki na huna ujanja.
 
Gunia3 za mkaa zinatosha "to put an end to the whole thing"
 
My opinion: wanawake ni makatili sana Hawanaga ata senti tano ya Huruma

Biblia imeandikwa tuishi nao kwa Akili Lakini ata akili zenyewe kuna sehemu zinagonga mwamba.

Solution ni kuto kuoa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…