Tanzania imesaini MoU na Iran leo

Tanzania imesaini MoU na Iran leo

Narudia Iran ina nini cha kushare na Tanzania zaidi ya ugaidi? Halafu fala ambaye hajaenda shule ni Muhammad si unakumbuka aliingiliwa na jini kule pangoni likawa linamwambia asome?
Wewe kweli hamnazo. Iran imewekewa vikwazo vya kila aina unavyovijua wewe tangu miaka ya 1970 hadi leo lakini ina uchumi imara,jeshi imara, miundombinu imara nakadhalika.

Hakuna taifa katika ulimwengu huu lililowekewa vikwazo vingi kama Iran. Yaani nchi inayowakosesha usingizi machoko wote duniani wewe unai underrate siyo?😂😂

Ukitaka kujua Iran ni lidude likubwa jiulize yeye kaishambulia Israel direct mara mbili bila kujiuliza mara mbili lakini Israel na mabwana zake wote bado wanakaa vikao visivyoisha kuhusu tu kulipiza kisasi.😂😂
 
kondoo wa rangi rangi ni vigumu sana kujificha.
Kilichopo ni kutuchonganisha tu. Watu wawili wakipigana, ukafanya urafiki na mmojawapo, automatically unatangaza uadui na upande wa pili. Busara ni kuwatazama kwa mbali tu wakitwangana. Tusuburi tuone. Tusije kutolewa kafara.
 
Huu si wakati wa kujifunganashika na iran iliyo na mtifuano na israel hata kama hatufungamani na upande wowote. Tungeacha kujionesha wazi kuwa tuna mashirikiano na iran kwa dhana kwamba adui wa rafiki yako ni adui yako pia huku tukitaka pia tuwe na ushirikiano na israel hata kama kuna maslahi ya nchi kutoka kwa mataifa hayo hasimu
Hatuwezi kuacha fursa yoyote ya biashara sisi ugomvi wao hautuhusu.

Zile zama kwamba adui wa Marekani na Ulaya lazima awe adui wa bara zima la Afrika zimepitwa na wakati.

Marekani na Ulaya wakisusa kufanya biashara na Afrika basi tunahamia mashariki kwa China, Urusi, Iran , Dubai, Oman, Qatar nakadhalika.

Na Marekani na washirika wake wanalifahamu hili ndiyo maana ile habari ya kususasusa siku hizi imeyeyuka.
 
Wewe kweli hamnazo. Iran imewekewa vikwazo vya kila aina unavyovijua wewe tangu miaka ya 1970 hadi leo lakini ina uchumi imara,jeshi imara, miundombinu imara nakadhalika.

Hakuna taifa katika ulimwengu huu lililowekewa vikwazo vingi kama Iran. Yaani nchi inayowakosesha usingizi machoko wote duniani wewe unai underrate siyo?😂😂

Ukitaka kujua Iran ni lidude likubwa jiulize yeye kaishambulia Israel direct mara mbili bila kujiuliza mara mbili lakini Israel na mabwana zake wote bado wanakuaa vikao visivyoisha kuhusu tu kulipiza kisasi.😂😂
Mkuu.
Unaijua Korea ya Kaskazini kwa Bw Kiduku. Unavijua vikwazo vyake? Basi tengua kauli kwanza mkuu vikwazo vyake Iran haon ndani.
 
Kilichopo ni kutuchonganisha tu. Watu wawili wakipigana, ukafanya urafiki na mmojawapo, automatically unatangaza uadui na upande wa pili. Busara ni kuwatazama kwa mbali tu wakitwangana. Tusuburi tuone. Tusije kutolewa kafara.
Kwani Tanzania ameingia mkataba wa mapigano kuisaidia Iran?

Yaani tuache kufanya biashara kisa ugomvi wao? Huu ni utahira uliopindukia na umeshapitwa na wakati.

Tanzania tumeingia mkataba wa kibiashara kwa ajili ya maslahi ya taifa hatuwezi kuogopa kuingia kwenye fursa za kibiashara kisa maugonvi yao.
 
Mkuu.
Unaijua Korea ya Kaskazini kwa Bw Kiduku. Unavijua vikwazo vyake? Basi tengua kauli kwanza mkuu vikwazo vyake Iran haon ndani.
Sio kweli ingia hata google tu unaweza kupata takwimu za vikwazo kwa nchi zote.

Hadi kufikia mwaka 2022 ni Iran ndiyo nchi iliyokuwa imewekewa vikwazo kulkko nchi yoyote ile.
 
MoU hiyo inahusu Nini?
Kwa nini mnaipongeza Serikali bila ya kujua kwanza Nini hasa Serikali hizi Mbili zimekubaliana???
Hapo ndipo inapodhihirisha kuwa tuna wajinga wengi sana nchi hii. Watu wengi wanajua tu kusoma, kuandika na kuhesabu, lakini hawana elimu wala maarifa. Yaani unapongeza bila hata kujua unapongeza kitu gani!!
 
Kwani Tanzania ameingia mkataba wa mapigano kuisaidia Iran?

Yaani tuache kufanya biashara kisa ugomvi wao? Huu ni utahira uliopindukia na umeshapitwa na wakati.

Tanzania tumeingia mkataba wa kibiashara kwa ajili ya maslahi ya taifa hatuwezi kuogopa kuingia kwenye fursa za kibiashara kisa maugonvi yao.
Kulitizama jambo kwa makini Ina faida zaidi. Kumbuka hawa weupe wote bila kujali asians or anyone wametutumia kwa maslahi yao zaidi kuliko tulivyofaidika, isipokiwa wakati wa Mwl na Mao. Pili wanasheria wetu na mikataba wanetuangusha mara zote. Hayo maslahi sina hakika nayo.
 
Mkuu.
Unaijua Korea ya Kaskazini kwa Bw Kiduku. Unavijua vikwazo vyake? Basi tengua kauli kwanza mkuu vikwazo vyake Iran haon ndani.
Vikwazo vya Iran vina hafadhali gani kuliko vya North Korea? Hebu tueleze
 
Back
Top Bottom