Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,060
- 9,468
Wewe kweli hamnazo. Iran imewekewa vikwazo vya kila aina unavyovijua wewe tangu miaka ya 1970 hadi leo lakini ina uchumi imara,jeshi imara, miundombinu imara nakadhalika.Narudia Iran ina nini cha kushare na Tanzania zaidi ya ugaidi? Halafu fala ambaye hajaenda shule ni Muhammad si unakumbuka aliingiliwa na jini kule pangoni likawa linamwambia asome?
Hakuna taifa katika ulimwengu huu lililowekewa vikwazo vingi kama Iran. Yaani nchi inayowakosesha usingizi machoko wote duniani wewe unai underrate siyo?😂😂
Ukitaka kujua Iran ni lidude likubwa jiulize yeye kaishambulia Israel direct mara mbili bila kujiuliza mara mbili lakini Israel na mabwana zake wote bado wanakaa vikao visivyoisha kuhusu tu kulipiza kisasi.😂😂