Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

Tuwe wavumilivu ndugu zangu bei za bando tutazizoea tu kwa sababu ni juzi tu ndio tumeingia uchumi wa kati.

Uchumi wa kati una gharama zake kwa sababu wajomba wa kutubeba hupungua!

Kila zama na kitabu chake

Maendeleo hayana vyama!
 
Bado kuna 1GB @sh500
 
Kuna siku mtakumbuka uzuri wa magufuli,hata kama hamtasema,magufuli alikuwa hataki ujinga,leo hii gharama za vifurushi vimepanda kuholela tu,angekuwepo magu,ndugulile ingekula kwake,
Hili nalo Ni jipu,huu ujinga Ni zao la magufuli baada ya waziri wake kutangaza mabadiliko ya vifurushi
 
Tuwe wavumilivu ndugu zangu bei za bando tutazizoea tu kwa sababu ni juzi tu ndio tumeingia uchumi wa kati.

Uchumi wa kati una gharama zake kwa sababu wajomba wa kutubeba hupungua!

Kila zama na kitabu chake

Maendeleo hayana vyama!
We hujui chochote
Sasa ulitaka division ndo tumpe ubunge.

Mataga hamjitambui .
 
Hili suala la uboreshaji wa vifurushi kwakwel naomba litizamwe upya,nikifuatilia karibuni mitandao yote nchini, mitandao pendwa na isiyopendwa imekuja kwa mlingano wa maboresho yao ambayo yanakuwa ni unyanyasaji kwa watumiaji. Kwasababu wamepunguza viwango vya vifurushi kwa bei kubwa.Wakuu naombeni nijue mtandao upi ambao kidogo hautoweza kuninyanyasa kiulipaji,
Vodacom ulikuwa ni mtandao wangu pendwa, lakn wameninyanya kwa kuniongezea bei kwa kifurushi chenye uzito hafifu.
 
Daah maisha ndo haya tena
Now ni mwendo wa kujifunza ku hack free wifi.
Nafikiri umefika wakati tutafute permanent solution ya internet. Kuna jamaa naskia wanaitwa Zuku. Wao wanauza unlimited data plans kwa bandwidth tu, ukitaka 5MB per second ni around 50K ila ni unlimited mwezi mzima. Hii nzuri kama mtajifungia mtaani kwenu tu.
 
Uchumi wa kati gani au ndio ule uchumi wa kati chini?

Yaani Ndugulile alikaa kikao na makampuni ya simu ili kuwaumiza watumiaji, haya maajabu ya hii nchi sijui yatakwisha lini.
 
UN wameitambua kama basic need kwa binadam.
 
Weka halo pesa 3000 nunua GB3 dakika 30 na sms ngapi sijui, Halotel wana afadhari,achana na Vodacom hawafai hata kidogo
Hicho kifurush bado kipo mkuu? Maana natumia Halotel lakini tangia jana hicho mifurushi hamna tena
 
Tuwe wavumilivu ndugu zangu bei za bando tutazizoea tu kwa sababu ni juzi tu ndio tumeingia uchumi wa kati.

Uchumi wa kati una gharama zake kwa sababu wajomba wa kutubeba hupungua!

Kila zama na kitabu chake

Maendeleo hayana vyama!
Ndungulile tunamuangushia jumba bovu bureee.
Anatekeleza maagizo ya jiwe maana jiwe alikuwa anaogopa sana nguvu ya mitandao sana.
 
Tatizo leno mmekariri vibando vya buku mbili sijui buku jero.

Jiunge na bundle la mwezi 30k linatosha kabisa.
30k halitoshi.
Simu Ram 6 gb.
4glite..
Internet speed 50mb per second...
Kila saa app update..
Software updates...
Haujaenda kwenye processor...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…