Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

Kuna Zege baada ya Pasaka
 
Mkuu, sio basic need kivipi?[emoji849]

Kuna watu wanatumia mitandao kwa masomo, utafiti, biashara, ajira, kazi, nk nk..
Wametumaliza kabisa sasa sijui nia yao ni kukusanya kodi kubwa au kuwadhibiti watanzania wasitumie mitandao haijulikani
 
Wakuu,

Kama kweli tunaamini katika uhuru wa mawazo kama haki ya kikatiba, na kama kweli tunaamini katika uwajibikaji wa viongozi, basi naomba huyu waziri Ndugulile asome ninayoandika kama jinsi yalivyo...
Vya mtandao upi maana haya maamuzi yalifanyika baada ya kikao cha kichawi baina ya wenye mitandao na bwana yule kiparangoto aliokabidhiwa wizara nyeti.
 
Hawa wanapima uongozi mpya kuona utafanya nini

Wafanya biashara wameanza kutafuta chokochoko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…