Wakati mwingine unahitaji kufikiri na kutanua mawazo. Hizo kazi katika ulimwengu wa leo zinafanyika kwa msaada wa internet.Vijana wafanye kazi, waache kushinda mitandaoni.
Kote mambo siyo mkuuWale wa TTCL nanyi manlia maumivu kama huku kwingine??
"Elimu bila akili ni sawa na choo isiyo na mlango" wanasema. Pia wamesema "kero za jirani ajaye kuomba moto zisikuzuie kupika"Ikiwezekana GB 1 inunuliwe kwa sh 10K, Ili mitandaoni tubaki watu tunaojielewa. Maana vijana waliacha kufanya kazi kabisa, kijana wa BAVICHA akimiliki itel alafu akaweka bundle la 1000,ilikuwa ni kero sana maana wanachojua ni matusi tu na kufatilia umbea mitandaoni.
Mtandao gan huu mkuu
Free basic iko jeKiufup tu free basic ndio nitabak itumia adi zantel nayo majanga tu
Mie naona viongozi wetu wanatuongoza kwa kudhani kuwa, wananchi wa sasa ni sawa na wa mwaka 1935. Na wanalazimisha iwe hivyo. Yaani hawapaswi kufahamu chochote kuhusu dunia tofauti na ndani mwake.
Acha siasa za kijinga tunaiongelea TCRA hili sio swala la CCM. Ni ajabu sana kuona Mtanzania anyewaza kwamba kila lifanywalo na serikali eti ni chama tawala. Huu ni upuuzi CCM na vyama vingine wanaandaa watawala wakija uku sis tunataka utendaji.CCM mbele kwa mbele au nasema uongo ndugu zangu!!!
Ni hakuna tu piaKama mazingira yako yanaruhusu karibu ttcl walau bei fair kidogo
Fahamu kwamba Hizo gharama si za makampuni ya simu hii ni moderation ya TCRA. na wamewataka vendors wote wafanye hivyo baada ya kuwaita na kukaa nao nadhani ilikuwa February km sikosei. Haya madudu ni ya TCRA.Siyalaumu makampuni ya simu kupandisha bei
Wametumia busara kukuonesha MH raisi hali waliyonayo na ugumu wanaoupata kukupa Kodi
Hivo tumuombe rais Kama alivyosema wiki ijayo tupate muongozi sahihi juu ya Kodi za hawa wawekezaji
Wakipunguziwa Kodi naaamini na wao wataregeza
TCRA wanatunga sera au kupanga KODi? Hawa wanapokea tuu maelekezo na kutekeleza hata kama Ni ya hovyo.Acha siasa za kijinga tunaiongelea TCRA hili sio swala la CCM. Ni ajabu sana kuona Mtanzania anyewaza kwamba kila lifanywalo na serikali eti ni chama tawala. Huu ni upuuzi CCM na vyama vingine wanaandaa watawala wakija uku sis tunataka utendaji.
Mnawaonea tcra buure. Wahusika hapo ni jiwe + ndugulile + ccmHaya madudu ni ya TCRA.
Mtandao upi huo?