mama hepache
Senior Member
- Dec 22, 2018
- 132
- 118
Kazi ipo!Serikali yenu vilaza, hawakumpima walijua kafa na kisukari kwa vile huwa ana kisukari. Hawakushangaa kwa nini alikwenda hospitali kwa kuwa na shida ya kupumua? Labda walivyoona hakuwahi kusafiri kwenda nchi ya nje hivyo wakaona hakuna haja ya kupima.
wanalipa uzandiki wao wa kujifanya TBCCM badala ya TBC.
Kama ww siyoWewe mpuuzi yaani bado tu unaendelea na upuuzi wako?
Wewe mpuuzi yaani bado tu unaendelea na upuuzi wako?Kama ww siyo
Kama wewe siyoWewe mpuuzi yaani bado tu unaendelea na upuuzi wako?
Wewe mpuuzi yaani bado tu unaendelea na upuuzi wako?Kama wewe siyo
Ulitaka abaki kukuturahisha wewe?
😁😁😁wapo kama mapipa kamandahahaha watangazaji vibonge .
Mkuu umenitoa tongotongo usoni.Serikali yenu vilaza, hawakumpima walijua kafa na kisukari kwa vile huwa ana kisukari. Hawakushangaa kwa nini alikwenda hospitali kwa kuwa na shida ya kupumua? Labda walivyoona hakuwahi kusafiri kwenda nchi ya nje hivyo wakaona hakuna haja ya kupima.
Mkuu sikufich me nimejifungia ndani na naenda nje iikiwa inaulazima ila brother ivi unajua impact za maneno yake kwa jamii ambayo haijaelimika na ndio sehemu kubwa ya Watanzania ? sijasema namwonea wivu ? kwanini anawaambia raia wafanye vitu ambavyo yeye vimemshinda ? anasikilizia upepo ? jamaangu haya mambo sio ya kutania hata kidogo me nawashangaa sana wazee, nenda nje if its necessary otherwise kaa home. Tatizo lenu kubwa ni ubinafsi , na ubaya ni kwamba corona inaturudia wenyewe kama wote tusipohimizana kutulia home ingekuwa atakepata kapata hampi mwenzie kama ilivyo ukimwi man, tungenyamaza ila kwa nature ya ugonjwa ulivyo majitu kama ninyi mtatuangamiza...Boris wa UK alileta dharau ivyo hivyo, wazir wa afya wa israel nae ivyo ivyo saivi wanaimba haleluya
Ni kukosa kujitambua tu.Nasoma comments SMH [emoji2357]
Yaani sijaelewa kwamba mmefurahi Hao jamaa kupata huo ugonjwa au Vipi?
Yaani kwa sababu unatofautiana na mtanzania mwenzako kisiasa ndo unafurahi kwamba akome Sasa manake wanasupport upande flani. Sasa akipata Yeye wewe unashindwa Nini kuambukizwa?
Alafu Unakuta Leo umetoka ijumaa kuu au msikitini au kabla hujalala na wewe Unasali.
Tumefika huko?
Anyway Ngoja niende kwenye Lile jukwaa La vichekesho na vimbwanga manake Humu kunashangaza.
Mbona kuna mtoto wa kigogo aliugua, naye ni sababu ya TBC? Saccos au binafsiWaimba mapambio wamejificha wapi jaman ? tulisema hapa wakianza kudondoka watu mmoja mmoja watakimbia hawa jamaa, siwaoni comment section hata wakinusanusa, Mkuu anasema tuendelee kupiga kazi ila yeye kakimbilia chatow kama kweli yeye mwamba arudi mjini tuendelee kupambana.
wakuu ushauri wa bure tufuate maangalizo ya WHO, mkuu anaosema tuchape kazi katukimbia na yupo kimya mpaka siku ya kwenda kanisani ndio anaenda kuongea, kaeni kitaalam, ndani ya wiki mbil wanne wamedondoka TBC...
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tulisema Marehemu aliondoka na corona hivyo tahadhari zichukuliwe mapema, UVCCM wakatubishia sana humu. Haya mambo ya serikali kuficha wagonjwa wa COVID-19 yatatugharimu mno mno.
Another job opportunity.
Man of the hour.
Wamfiche marine kama kafa na corona ili iweje?? Ana nini cha ziada?
Sent using Jamii Forums mobile app