"walilipa kwa mujibu wa mkataba kati ya TFF na CRDB". Je mkataba uliwataka fedha za mwaka jana walipe leo?
 
Endapo TFF akikataa ndipo hiyo hoja Yako itakua imekaa vizuri
 
Yanga waishukuru Simba, bila Simba kugomea mechi siku ile hii pesa yao ingeyeyuka kama barafu.
Isingeyeyuka ila wangedai kimya kimya

Pia, nadhani Yanga wanawashukuru mabaunsa waliogoma kufungua geti maana wasingegoma, Simba ingecheza
 
Kwa Raha wanazopata Ukiwaambia wajiuzuru wako tayari soka life
 
Simba na yanga team za wanywa kahawa hizi
Wanajuana
 
Bado hajasema,wengi mlikuwa mnailaumu Yanga bila kujua nini kipo nyuma ya pazia juu ya uozo wa TFF na Bodi yake.
 
Tutajua soon
Unapenda usikie Yanga walikuwa wanadaiwa uanze kutusumbua humu🤣🤣🤣

Wallace awe makini na hiki kinachoendelea mambo mengi yataibuka. Kuna pesa zile za fainali za kombe la dunia kwa wale mabinti zIlitaka kuleta maneno na pesa nyingi zinazotoka FIFA. Wakati huu wa kumwaga mboga inatakiwa awe makini zaidi.
 
Ahahha si unajua Karia hawezi kukubali kirahisi so mengi yataenda kutokea soon...
Ila awe makini kweli
 
Shoga yenu utopolo Jamal Malinzi nae enzi zake aliondoka kwa skendo ya utakatishaji fedha
Ukikaa kwenye kitengo cha pesa au kusimamia taasisi inayopokea pesa toka taasisi nyingine huwezi maliza salama ama sivyo ujitoe mapema. Sep blater haikumuacha salama. Pesa inamuingiza matatizoni yeyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…