TO wa mwaka 2006 kidato Cha sita anatrend mitandaoni baada kufariki 2020

Watu wengine wanamind kwasababu jamaa alikuwa jeuri, Ila Mimi sijawah kugundua hiyo tabia, labda kwasababu nilisoma mda mchache kwenye kipindi chake. Ila tuheshimu watu wanaoitwa TO
Kua T.O sio rahisi hata Leo hii ukipewa all facilities ukapimane na watoto wa form 4 mwaka huu 2026 unaweza usiwe T.O
πŸ˜ŠπŸ˜†
 
Kuna tofauti kati ya genius na mtu mwenye uwezo mkubwa wa kukariri. hao unaowasema wewe wanauwezo mkubwa wa kukariri na sio ma-genius.
Hakuna sehemu yeyote mimi kama mimi nimesema maTO ni maGenius ,nimetumia Huyo genius wenu(wao ndiyo wamemrate kama genius) ila kwa mimi ambao nawajua nimewaita Vipanga ,namba mbaya!
 
tulipokuwa semester ya mwisho ya mwaka wa tatu alituambia amepata msiba wa mama yake Dodoma alipoenda msibani hakurudi tena chuoni. Hadi leo sijui yuko wapi. mara nikasikia jamaa alikuwa kitengo
Vitengo huwa hawamalizi au wanaweza kusoma hata miaka 10 ,akishamaliza project yake anakimbia mazima na kufeli.
 
Jamaa kweli mzuri. Ila tumpe heshima yule mwamba aliyekua TO Tangu darasa la saba hadi chuo UDSM. Mm binafsi nilishudia majibu ya mtihani wake wa form 2 niseme tu jamaa sio anaakili bali hata kupangilia kazi anajua. Yani mwanafunzi anapanga majibu kuliko hata solution ilivyoandaliwa na baraza. Kiufupi yule Chegere kama yupo UDSM anafundisha akisema awakomalie wanafunzi wapange kazi kama yeye alivyokua anajibu wengi watafeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…