TO wa mwaka 2006 kidato Cha sita anatrend mitandaoni baada kufariki 2020

Alikua bata na watoto wazuri hazijamsaidia kivipi sasa?πŸ˜„
Mwalimu wa tuition ana ya kula bata na watoto wazuri????
SEMA hivi starehe yake ilikuwa ni kula watoto wazuri na aliwapata kwa level yake.
Huo u Tanzania one wake si angeutumia hata kufanya uvumbuzi au angeutumia vizuri angei enjoy mshahara mkubwa kwenye mashirika
 
Hayo ndio mambo ya kila mfu kuwa na malengo yake
 
Huyu anataka kufanana na ustadh.watoto wote wa arts hakuna asiyemjua ustadh labda hawa gen z. Ustadh alitoa maana ya regime akatoa mfano wa nchi zenye regime mfano somalia.neno regime halitumik katika nchi zenye staha. So ukiona mtu anatumia regime ujue hajui language. Madogo walikua wanajaa pale changombe sa tatu unsomea getin semantic na syntax ukila topic zako unarudi bording na past paper mwendo wa kutoboa asubuh kwa asubuh.kuna arts walikua na misul tembo kama science. Faliers ni hkl tu
 
Huyu anataka kufanana na ustadh.watoto wote wa arts hakuna asiyemjua ustadh labda hawa gen z. Ustadh alitoa maana ya regime akatoa mfano wa nchi zenye regime mfano somalia.neno regime halitumik katika nchi zenye staha. So ukiona mtu anatumia regime ujue hajui language. Madogo walikua wanajaa pale changombe sa tatu unsomea getin semantic na syntax ukila topic zako unarudi bording na past paper mwendo wa kutoboa asubuh kwa asubuh.kuna arts walikua na misul tembo kama science. Faliers ni hkl
 
Huyu jamaa inaonekana alikuwa Comedian. Kwa nature ya saikolojia ya wanafunzi, huwa wanapenda mwalimu mcheshi, na akiwafundisha huwa wanakuwa wanamuelewa vizuri sana.
 
Sio poa, kwanza ukikutana naye kama humjui utasikia β€œCha kwanza lazima kwanza ujue unaongea na T.O” [emoji3][emoji3]
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Naskia wakati anasoma chuo alisema anaweza kuwatungia mtihani maprofesa wa pale UDSM na wakashindwa kufaulu. Maprofes wakammaindi wakamfelisha jamaa akadisco
 
Elimu ya bongo jau nilishangaa kuona school one wetu anauza gesi ubungo kwenye kibanda second one wetu wa muda wetu anameza ya kuuza ubuyu kariakoo
 
Katika shule Fulani ya uboyzini aliwaambia hamuwezi kufaulu.kwa kufundishwa na waliofeli....Sasa kama hamuamini nakupeni swali muwape walimu wenu kesho...kweli wanafunzi bila ajizi Hilo swali walipelekea walimu wa hiyo physics wa shule nzima...Kila mwalimu alijifanya Yuko busy..mwengine aliishia njiani akajifanya ana emergency....ila gwiji likasolve Kwa njia tatu tofauti
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Naskia wakati anasoma chuo alisema anaweza kuwatungia mtihani maprofesa wa pale UDSM na wakashindwa kufaulu. Maprofes wakammaindi wakamfelisha jamaa akadisco
Sio maprofesa tu, jamaa aliwahi sema anaweza tunga swali la physics alafu akawapa shetani na Mungu wakakaa meza moja kulisolve wote likawachomoaπŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…