Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,684
Ha haha . Wajitokeze waeleze.. Au ndio kodi kwenye MB za internet na miamala ya atm...Sasa TRA wanavunja rekodi kila mwezi ya makusanyo kivipi?
Co wewe tu mpk mafundi viatu nao ligi ngumuKama vile unajua ninachowaza. Hizi zimenifanya week end nibaki kituni maana nilizoea kutoroka mzigoni afu jpili napanda IT mdogomdogo mpaka mikoani nawahi job j3 kama kawa. Leo ni ngumu aisee
Ha ha ha ...Tulieni Mnyooke!
Wakati wa JK mlidhani mambo yanajiendea tu ndio sababu mliimbishwa nanyi Mkaitikia kiitikio eti Kuna Ombwe la Uongozi.
Bandari ilipovamiwa kwa Mbwembwe mkashangilia mlidhani anakomolewa Jakaya. Magari yamepungua kutoka 3,500 mpaka 1,500 na bado mpaka itafika 500 kwa siku.
Sasa Chanjo kadhaa zimeanza kuadimika.
Lazima Mnyooshwe na mtanyooka Tu.
Mapumziko Mema Rais Mstaafu Kikwete kuna watu walidhani wakati wako Mambo yanajiendesha tu!
Mount Meru ipo Mnadani inauzwa kwa kukosa wateja
Zingine zinageuzwa Hostel bila ya kujua Pass mark zimeongezwa kupunguza Wanafunzi Vyuo vikuu.
Wa Vietnam wamefika Dar Jana wameenda mpaka Msoga kuchota Hekma halaf kuna Vichaa walitufundisha eti ni Rais Dhaifu.
Naupenda sana Utawala na Leadership style ya Magufuli kwa kuwa inathibitisha nilichokuwa naamini Juu ya Jakaya Kikwete.
Wale walioruhusiwa kufanya Siasa kwa uhuru walituaminIsha wanafanya hivyo kutokana na Ujasiri na uthubutu wao sio Utashi wa Rais Leo hii wote wamefyata na Mwanamume Mmoja anazunguka Nchi nzima kupiga Mikutano
kwaio positive thoughts ndio zitakazo ongeza idadi ya mizigo na kupandisha mapato juu!?Sijaangalia taarifa ya habari leo ila kamati haiwezi kuhoji TRA eti mnapata wapi fedha za kodi wakati hakuna mahali ktk nchi ambako hapaingizi mapato.
kodi inalipwa tena kwa sasa maeneo mengi kodi na malipo yasiyokuwa ya kodi yanalipwa kwa njia ya mtandao na wizi umepungua sana na mapato yamepanda sana.
Hayo ya TPA wenye mamlaka watatoa taarifa kama kuna shida.
Naomba tuwe na positive thoughts itatusaidia ktk kujenga nchi yetu
Nimemmisi Faizafoxy!dah!Umeongea vizuri sana. Hatimaye watawakumbuka pia Ritz na FaizaFoxy . Nadhani hawa jf member this time watakuwa wanacheka tu. Chezea uongozi wewe. Mtu kawatengenezea ajira millions then mnamtukana? Eti
Walikuwa wakiita autopilot. Sasa nawaongoze basi hiyo spidi ya Boeing 787 ili tuwahi kufika. JK tutakumbuka mnoo, umewafanyia mengi sana watanzania wasio na shukran. Kuanzia umeme vijijini, miradi ya maji na umwagiliaji, barabara, madaraja, maendeleo bibafsi, skyscrapers, universities, freedom etc.
ahahaha,mikwara haitasaidia kitu!Magu anaweza wachimba mkwara kuwa mmezificha meli, hebu subirini arudi kutoka Zenji mtakoma.
Nani achukue? Magufuli..? Huyu yupo bussy kuzunguka nchi nzima kupiga makelele shein asisain stakihi baada ya kutoshikwa mkonoSasa itakuwaje tena, uchumi utakuwaje, naomba mchukue hatua haraka sana kuokoa hali hii
Yeye kamwaga ugali ,Wao wamemwaga mboga......Hawa wanataka kumjaribu Mheshimiwa sana. Hawajui alishasema hajaribiwi. Mi naomba awashughulikie Hawa.
Haya sasa hivi bandari nyeupe.. Au nyie ndio kina kemikal ali?hii kamati wakati watu mizigo ilivyokuwa inafurika huku kapu likiwa limetoboka mlikuwa wapi kutoa ushauri
Kina concept hujaielewa bado kijanaTatizo sio kupungua mizigo bandarini, ishu hapo ni kodi. Wapo waliozoa kupiga dili, kupitisha mzigo bila kulipa kodi, bora kuwa na mizigo michache inayolipiwa kodi
Watatoa tamko, mizigo itakuja mingiKama bandari haipati mizigo hiyo standard gauge railway haitakuwa na manufaa.Pia kwa huo mkopo kutoka Exim China tutashindwa kuulipa.
Ni wakati wa kukaa na wadau kuona wapi kwenye tatizo ili watu warudi kutumia bandari yetu.Biashara inataka mtu kuweka mazingira mazuri na sio kutumia nguvu.
kwaio mizigo ni mingi bandarini na mapato yako juu?Unaweza kumwamini mbunge yeyote lakini siyo Dalai Kafumu wala Mary Mwanjelwa, hawa ni mawakala wa wapiga dili wanajulikana. Eng. Kakoko hajasema kuna tatizo la mizigo bali amewashauri TRA waachane na njia za zamani za kutathmini thamani za magari ambazo zinashawishi rushwa. Alipendekeza TRA watumie njia ambazo ni transparent.
ahahaha,ila ujiandae kuja kukaguliwa kwa kosa la kuficha makontena na meli nyumbani mwako!yaani natamani bandari ikose kabisa mizigo waifunge tu ndio akili atatukaa sawa
ujiandae pia kwa msako na ukaguzi kwa wale walio zificha meli vyumbani mwao!alianza na wanaoficha sukar, ameenda na wanaoficha noti sasa itakuwa kuficha makontena(mizigo
ahahaha,Wasaidizi wake wanaishia Kumsaidia kuzitolea ufafanuzi kauli na mipango yake!Magufuli mzee wa U-turn. Kila akifanya maamuzi anajiona wenzake wale walikuwa wajinga anakuta anarudi nyuma tena.
Penye Ukweli Huwa Hawatii Pua Zao!Uzi kama huu Lumumba wanachungulia a kukimbia
sio viwanda?ahahahaNchi ya vibanda
Mh,Wwe ndio mwendazimu tena mchochezi unayependa kuona nchi ikidumbukia kwenye shida. Kwanza huna akili.
Kama la Waziri Mkuu Kuhamia Dodoma Septemba Mosi na Kisha Kuhairisha?ahahahaWatatoa tamko, mizigo itakuja mingi
Naunga Mkono Hoja!Nape fungia ITV
Tupo, tumeshasema Nape afungie itvNyie buku7 mbona uzi huu mnauchungulia tu...
Changieni basi...
Ova
Hongera kwa Kuiona Fursa!Nafikiri ni wakati mzuri wa kubadiri mfumo! Baada ya kusubiri mizigo ambayo haipo, sisi tufanye yafuatayo. 1. Tusafirishe nje malighafi na bidhaa. 2. Tuwekeze viwanda maana bidhaa zitakua adimu sokoni, kwahiyo tuna nafasi ya soko la bure. Ni wakati wa kuitanua nchi ila kwa wavivu wa kufikiri wanazani Sera za Raisi Magufuli zinaferi, lakini Mimi nadhani ni wakati muafaka wa kuimarika ndani ya nchi kwa kila kitu kinachokosekana tutazalisha hapa. Mfano, Mimi mwenyewe nimeona faida, maana pesa hakuna lakini kampuni yetu imeongeza mauzo, kwa maana bidhaa kutoka nje hakuna kwahiyo waliokua wanazarahu bidhaa zetu wamekuja kununua, ingawa kwa kiasi kidogo, lakini Malengo na nia zinaelekea kutimia. Namsifu Magufuli kwa maana katika shida tulio nayo sasa, tunaona tumaini la Kiwanda chetu kukua. Tujiamini watanzania, ni wakati wa sisi kuzarisha.