Sibishani na kamati ya Bunge wala Tv nachosisitiza mtuwekee trend ya data za TPA na TRA kuhusu mizigo na kodi ili habari hiyo iwe na mashiko na siyo tu lugha za jumla jumlaNa we ninoma unabishana na tv au na kamati ya bunge???
Kwa nini Rais alaumiwe na wabunge kwa sheria iliyopitishwa na bunge? (VAT na Bajeti na kadhalika)
Au kama ni maamuzi ya Rais kwa nini walaumiwe wataalam, tunajuaje hakushauriwa?
Na kama alishauriwa, tunajuaje ushauri waliotoa wataalam ni upi, vipi kama hivi ndivyo Rais alivyoshauriwa?
Kuna mbunge kasema tusitafute mchawi, tukae pamoja tutathmini, tukae pamoja kina nani? Haya maamuzi huwa hayafanywi pamoja, ni lazima tujue maamuzi yanafanywa na nani katika ngazi gani ili tujue pa kurekebisha ni wapi na wakuwajibishwa ni nani.
Unauliza aliyofanya Jk?!
1) Ukiona tunajadili kupungua Mizigo bandarini ujue tunalinganisha na Wakati wa Jk.
2) Ukiona Kuna UKUTA ujue wanapigania uhuru Urudi Kama wakati wa JK
3) Ukiona Rais analalamika Mzunguko wa Fedha umepungua ujue analinganisha na Wakati wa Jk
4) Ukiona Hotel kubwa Kama Mount Meru inatangazwa kuuzwa ujue Biashara sasa hivi ni tofauti na Wakati wa Jk
5) Ukiona watu wanalalamika kupandishwa Passmark kuingia Vyuoni ili kupunguziwa mzigo Loan Board ujue wanalinganisha na Wakati wa Jk
6) Ukiona watu Wanalalamika kuropoka ropoka kwa Pombe Jua wanalinganisha na busara na hekma za Jk.
7) Wabunge waliokufundisha kushangilia Ziara za kustukiza Bandarini na kuwatimua Wateule wa Jk ndio Leo wanakufundisha ustuke Hali ya Bandarini ni zaid ya Hatari kutokana na fukuza fukuza na uvamizi ule.
8) Kama ulimuona Msigwa Ikulu kwny kugawa Madawati Jua anayapeleka kwny Madarasa yaliyojengwa wakati wa Jk sio anapeleka chini ya Mwembe!
Unaniuliza watu wakinyooshwa mie ntakuwa wapi Kwan nimekwambia Mie nitakwenda kuandamana kwny Ukuta? Mie sihitaji ajira Serikalini zilizozuiwa, sihitaji Promotion ya Mishahara iliyozuiwa, Sihitaji Bunge Live, Sitegemei kuja Kutumbuliwa kwa kuwa sio Mtumishi wala Mteuliwa, Shughuli zangu hazihitaji Ziara za kustukiza wala Maelekezo ya Wanasiasa. Tambua Mnyoosho huu unawahusu Watanzania Wengi ila si wote
Kumtukuza Jk sijaanza Mie wameanza wale waliokufundisha Kumchukia, hujamsikia Godbless Lema aliefikia hatua ya kupiga Marufuku Amiri Jeshi asikanyage Jamhuri ya Kaskazini yeye na Joshua Nasari wakajitangaza ndo Rais na PM wa Kaskazini lakin hata Onyo hawakupewa lakin Juzi Kati kamtukana Mrisho Gambo tu RC wake Maisha Lupango mpaka kasusa Kula ndio kapewa Dhamana? Hujamsikia Tundu Lissu? Jee nao akili zao Full Majanga kwa kuwa tu wamemtukuza Jk?
Tutegemee vitu kupanda maana huyu akikosa mapato anapandisha kodi fulani .Nilisha apa maishani mwangu sitakaa niwaamini hawa wanao jiita wataalamu serikali.Kama walithubu kuja mbele ya vyombo vya habari,na kutuaminisha kwamba VAT haitakaa itozwe kwenye miamala ya kibenki,leo hii tunatangaziwa kukatwa hizo kodi! Mh mh na kwa aibu wamepiga kimya.
Teh teh teh Mkuu nikikumbuka mihemko ya Mkuu wa magogoni natamani arudie tena ile kauli yake ya "bora mizigo michache ...." teh teh teh!Zimbabwe mpya inazaliwa.
Watanzania wanafiki sana walNaona kuna hii kadhia ya mizigo kupungua bandarini
Kamati ya Bunge imekutana na wadau Bandarini na wamekiri mizigo kupungua na kuomba wahusika kukutana na kutafuta suluhisho, huku wakiwalaumu Wataalam kwa kushindwa kumshauri Mh Rais vizuri
Chanzo ITV news
Ndiyoo....jamaa hashaurikii hiiiiiiiiOva......kwa hiyo atakuwa anaweka kioo mbele yake?
Kweli sasa hii nchi imekuwa ya mtu mmoja halafu nashangaa kamati inalaumu watendaji eti hawamshauri vizur rais hivi ni mtendaji gani atakayejitokeza kumshauri mtu anayejifanya anajua kila kituM/kit kamat amesema walipeleka mapendekezo yakakataliwa' hii nchi sasa n ya mtu mmoja tu analoamua yy ndo hilo hilo hata lisipokuwa na maslahi kwa taifa!
Cc; lizabonKwenye huu uzi wale buku7 wa lumumba huwezi kuwaona..
Fatilia
Ni sawa na Tajiri anayeacha kufanya biashara ili kuwakomoa wanaomdokolea.....matokeo yake anafilisika...ukimuuliza anakwambia 'nimewakomoa waliokuwa wananidokolea'
Labda wanawauliza mkulu na mzee wa bandari.Wadau nimekuwa nkpitia post kama hzi sioni vijana wa uvccm wakitoa maon yao. Nini kimewakuta hawa vijana?
threads kama hizi huwezi kumuona Lizaboni wala kijana yoyote wa Lumumba wapo kama hawapo.
Wabaridiiiiiiiii wanasoma tu comments[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
source ya mapato nchini si bandari pekeeHii ni kwa mujibu wa taarifa ya habari ya ITV,wabunge wanahoji TRA wanapata wapi mapato!!