Trump: Marekani imevishambulia vinu vya nyuklia vya Iran

Ukiielewa western power wala huumizi kichwa mwisho wake utakuaje.

Hapo ni kuusambalatisha kabisa utawala wa islamic ndio lengo kuu.

Au ubaki ila uwe ni wamapuppets wa western

Hizo ndio option kuu mbili alizonazo muirani.
islamic ilijiinua sana na kujiona imechukua pahala pa ukomunisti, sasa nao unasambaratishwa
 
Mbona akiamua kuwaua wote hata leo tu siku haiishi!!Iran ni axis of evil!!mfadhiri mkubwa wa ugaidi duniani ni IRAN
Ila magaidi makubwa kama USA na Israel yanayofadhili vikundi vya kigaidi duniani kwa ajili ya maslahi yao binafsi hujawahi kusikia ama kushuhudia enhee?

Baki kupigwa propaganda na mashog, a wenzako hivyo hivyo.
 
Fordow imeenda
Hiyo imeendaaaaa
 
🤣 🤣 🤣 Nakubali... Yaani mtu anauwa majenerali na wanasayansi wako vyumbani wamelala bado humpi Heshima
 
Mnyama Caine
 

Attachments

  • 1750569631525.jpg
    937.4 KB · Views: 16
Hahaaa hao hao Israel na US walishindwa kuubaini ukweli kuhusu silaha za maangamizi za Iraq.
Siyo kwamba walishindwa kubaini ukweli,walilazimisha hivyo ili watimize adhima yao ya kuipiga Iraq kwa kisingizio cha Iraq kumiliki nyukilia wakati siyo kweli.
 
Siyo kwamba walishindwa kubaini ukweli,walilazimisha hivyo ili watimize adhima yao ya kuipiga Iraq kwa kisingizio cha Iraq kumiliki nyukilia wakati siyo kweli.
Shida ya kobaz ni kamdomo , uwezo hakuna kelele nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…