Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,396
- 3,444
Yani umepiga af una tangaza amani😂😂😂Rais Trump wa Marekani amesema kuwa Marekani imeshambulia site tatu za mitambo ya nyuklia ya Iran
========
Donald Trump has said the US has completed a "very successful" attack on three nuclear sites in Iran.
In a post on Truth Social, the president said the Fordow, Natanz, and Isfahan sites were targeted.
The president's full post reads:
View attachment 3378447
Jibu swali kwanzaAtoke hadharani adijifiche! Mbona PM wa Israel ametembelea site zilizopata maafa. Umeona ayatollah kafanya hivyo kwenye nchi yake? Kwanini?
Huwez kutoa taarifa ya hv ukiwa kwenye vita, uwaambie haijabomoka ili warud tena?
Fox news pia imeriport KUWA inawezekana Demage halijafika Hadi eneo husika.Huwez kutoa taarifa ya hv ukiwa kwenye vita, uwaambie haijabomoka ili warud tena?
Mbona Pakistan anayo na hakuna shida? Kwa kifupi n kua hakuna mjinga anepaswa kua na hizo silahaIran hatakiwi kuwa na nyuklia kwa mujibu wa nani?
Na Israel na Marekani wao wanazo hizo nyuklia.
Nani aliwapa wao ruhusa za kuwa nazo hizo silaha?
🤣🤣🤣Kazi unaendeleaThe goal is to demolishe the infrastructures, site zilizopigwa zilikua kwaajil ya uranium conversion facility and other nuclear infrastructure, sio kwamba zilikua zinahifadhiwa active nuclear weapons, hapana
Huu mwaka kila kobazi atachanganyikiwa kwa wakati wake maana makafiri yanapeleka Moto wa kifuuUtachanganyikiwa kwa sababu kila unachowaza kuhusi Israel akiwi Kama unavyotaka wewe
Hawataji ndugu zako ,ongea na waliopo huko uone .. Wenzenu kifo ni aibu ndio maana hawataji ila kwa jihadists ni ushindiHebu leta idadi ya vifo Israel vs Iran tangu vita ianze
Hizo ni calculated classified mission mzee sio kila video utaiona,wanazo wao pentagonHotuba ya Trump imekaa kiuongo uongo sana,yamkini hakuna chochote walichofanya so far sijaona hata video inayoonesha hilo tukio.
Ngoja tujipe muda tutajua tu.
dah maskin poleeHabari za mjini ndio hizo haya tusubiri matokeo
Ukiwa nazo tayari hakuna atayekusumbua.Mbona Pakistan anayo na hakuna shida? Kwa kifupi n kua hakuna mjinga anepaswa kua na hizo silaha
Unajua pro Iran/hamas/Hezbollah wa bonyokwa hua wanadhani kila security detail attacks unaweza kukipata kwa urahisi sana wakiwa wamekalisha mapumbu somewhere in their gaddem housesHizo ni calculated classified mission mzee sio kila video utaiona,wanazo wao pentagon
Breaking news inayofata ni ya kagameYaani nilivyoona breaking news na hiyo rangi basi mapigo ya moyo yamenienda mbio nilidhani Kuna kifo
Ulishawah kuona Iran akipinga Hana nuclear?Shida hapo Iran wala sio nuclear wanajua kabisa kuwa Iran hana nuclear bomb. Shida ya Iran ni huo uongozi wao, wanataka wawaondoe hao viongozi wawaweke viongozi wanao wataka wao.
Israel, USA na nchi za Ulaya ndio wanaamua nani awe kiongozi hapo middle east. Na huyo kiongozi anapewa masharti ili adumu anatakiwa awe rafiki wa Israel na US na ni mwiko kulaani US na Israel. Na pia hao viongozi wanatoa rasilimali zao kwa US.
Na ndio mana unaona hao viongozi wote wa nchi za waarabu wapo kimya hao ni wanafiki na wanafuata masharti waliyopewa sababu wakileta mdomo wanaondolewa.
Hata Iran alikuwa hivyo kabla ya mapinduzi ya 1979 ila baada ya hapo Iran imejinasua na huo upuuzi wa kuwa chawa wa US na Israel na imekuwa mwiba kwao. Sasa hii vita nia yao ni kuwaondoa viongozi kama walivyo fanya Iraq na Libya. Hii nuclear ni propaganda tu. Ngoja tuone kama watafanikiwa.
Wanadhani ni movie ya Rambo😂Unajua pro Iran/hamas/Hezbollah wa bonyokwa hua wanadhani kila security detail attacks unaweza kukipata kwa urahisi sana wakiwa wamekalisha mapumbu somewhere in their gaddem houses