Tuchanane: Mambo ambayo akifanya mtu aibu unaona wewe!

Hivi kumbe kunawatu mnaona noma kula mhindi/muwa mkiwa mnatembea! Yaani kwamba nikinunua kipande cha muwa au mhindi ni hadi nifike home ndo nile? Mi kwakweli napigaga tu...
Kula barabarani sio adabu mkuu.
 
Mwalimu kujamba mbele ya wanafunzi😆
 
Samahani mkuu swala la kurukia foleni SIACHI i've a lot of things to do.

"SIFA WEPESI"

Kama ulienda jeshini huwezi shangaa
 
Unaogopa kunywa vumbi la korodani 😀😀
Hii Kwa wanawake
Anatengeneza juice mara kashika pia,mara nywele, yaani kinyaa siwezi😂

Ila kitu ambacho huwa kinanifanya naona aibu,unakuta mdada ameweka rangi kwenye nywele,ana kipini puani halafu nguo fupi sn au inabna mpk anapata shida outembea,au sehem ya mwili Iko wazi🙌
 
Kuna hawa wanaume wanene wanapendelea kuvaa jezi ama tisheti akikaa kijiweni kwenye benchi unakuta suruari na t-shirt havina ushirikiano mstali wa makalio wote upo nje, aisee inatia aibu sana na pengine ni Baba wa familia kabisa
Alafu boxer chafu, kalio limejaa nywele, limepauka, halijui mafuta hata mamis!
 
Jitu linatoa uchafu puani kwa kidole harafu anapangusia ukutani,anafinyanga kwenye kidole au kwenye meza/kiti.
2. Jitu linatafuna bigijii kaka anafyonya hrf akisha utamu anabandika chini ya kiti au Meza.
3. Kuna wadau wananuka mdomo Ile mbaya hrf anajitoa uchafu kwa stick kwenye meno unakuta anajinusa!
 
kwahicho kinyaa chako utaweza kuish india ?😀😀
 
Kuna Ile mtu leo wamkuta mweusi tii unaamka asubuhi kawa mzungu wa Australia ila hawa watu hawana aibu yani hadi unashindwa kumtazama mara mbili kwa aibu
 
Uchawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…