Tumetoka mbali sana, tumshukuru Mungu. Wengi hawakujionea kwa macho

Bila kusahau kumbi za sinema kama Empire,Empress, Drive Inn,New Chox,Star Light,Odeon,Cameo.Kipindi hicho tunamuangalia Angela Mao,Churck Norris,James Bond,Bruce Lee halafu jumatatu tunakwenda kuhadithiana Shuleni[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ilikuwepo Avalon pia.

Nilikuwa napenda kula kababu kwa Mhindi,nje kidogo ya ukumbi wa Avalon, kisha ndo nazama kuangalia sinema.

Kuna siku Mzee Mohammed Said alileta uzi kuhusu kumbi hizo akanikonga moyo sana.
 
Enzi hizo kuona GOT tu ni shiida, wadada wanavaa underskirt hakuna skin tight, akikaa vibaya ukaona chupi bao linatoka lenyewe.
Nlipenda sana kuangalia mchezo wa REDE[emoji851][emoji851][emoji851]
 
Enzi zetu hizo ndonga ikisimama imesimaa, kuipooza mpaka ujigonge mshipa wa juu ya kisigino, sio vijana wa siku hizi mpaka watumie hendeli kukiwasha, na hata ikisimama inakuwa legelege hata bikra zinawashinda kutoa
 
Mpango wa Skuvi alioanzisha Reginald Mengi mwaka 1995, Mengi alivotoa zile tshs million 300 kwa vijana, Nahis watanzania wengi walishangaa sana...sukari kilo nahic ilikua sh 300 kipindi hicho, na kipindi hicho watu wengi walikuwa maskini , siku hizi kidogo Baadhi ya watanzania wame-improve kiuchumi tv na smartphones zipo Karibia kila nyumba Hapa Tanzania Bujibuji Simba Nyanaume
 
Enzi zetu hizo ndonga ikisimama imesimaa, kuipooza mpaka ujigonge mshipa wa juu ya kisigino, sio vijana wa siku hizi mpaka watumie hendeli kukiwasha, na hata ikisimama inakuwa legelege hata bikra zinawashinda kutoa
[emoji23][emoji23][emoji23] au barafu
 
Enzi zetu hizo ndonga ikisimama imesimaa, kuipooza mpaka ujigonge mshipa wa juu ya kisigino, sio vijana wa siku hizi mpaka watumie hendeli kukiwasha, na hata ikisimama inakuwa legelege hata bikra zinawashinda kutoa
 
Ilikuwepo Avalon pia.

Nilikuwa napenda kula kababu kwa Mhindi,nje kidogo ya ukumbi wa Avalon, kisha ndo nazama kuangalia sinema.

Kuna siku Mzee Mohammed Said alileta uzi kuhusu kumbi hizo akanikonga moyo sana.
Hiyo apo

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…