heka=eka. Ni matamshi tu. Vyote viko hapo juu. Hekata ina square metre 10,000 au urefu na upana ulio sawa na urefu wa kiwanja cha mpira wa miguukuna hekta na heka..ni vitu viwili tofauti
15,000/= per square meter. Bei nzuri sana kama ni tambarareEneo lipo geza ulole km 17 kutoka kigamboni ferry
Eneo lina HATI MILIKI
Ukubwa ni sqm 12,000
Lipo barabarani kabisaa
Bei ni milioni 180 Tu (180,000,000/=)
Unaweza nunua na kuwauzia wengine kidogo kidogo kwa faida
mawasiliano 0677 818283 au 0688 8888 43
View attachment 1668613
Benki sikopesheki, yaani hapa nilipo nina overdraft mpaka kwenye salary slip yangu. Natamani ningekuwa na hela hiyosanaa..mtu anaweza nunua akauzia watu kidogo kidogo..
unaweza kuuza kwa 30,000 per square meter
sanaa..mtu anaweza nunua akauzia watu kidogo kidogo..
unaweza kuuza kwa 30,000 per square meter
Upande wa juu au wa chini hapo?Eneo lipo geza ulole km 17 kutoka kigamboni ferry
Eneo lina HATI MILIKI
Ukubwa ni sqm 12,000
Lipo barabarani kabisaa
Bei ni milioni 180 Tu (180,000,000/=)
Unaweza nunua na kuwauzia wengine kidogo kidogo kwa faida
mawasiliano 0677 818283 au 0688 8888 43
View attachment 1668613
ngoja nimstue kiduku lilo aje anunue kiwanja cha kupaki collection yake ya Range rovers na Rolls RoyceWale mabillionea wenzangu tukutane hapa
Yaani unamaanisha ekari moja unauza 180,000,000/=? Au kwa maana nyingine square metre moja unauza TZS 45,000/=? Hiki ndiyo unachomaanisha?Marekebisha mkuu... Bei ni kwa heka 1
haha jamaa yuko wapi nowdaysngoja nimstue kiduku lilo aje anunue kiwanja cha kupaki collection yake ya Range rovers na Rolls Royce
hilo ni jepesi, kwanza una surrender hati ya kwanza halafu wanapima upya wala hakuna longolongo. kinachoangaliwa ni master plan tu, kama itafaa kwa makazi wanarekebisha.Hii inawezekana vipi kiwanja ambacho tayar kina title deed, hivi unaweza wagaia watu? Umiliki wao unakuaje? Maana kuna shamba lilipimwa badae kutaka kubadili matumizi mizinguo kweli huko ardhi yaani wanaweka ngumu sana.