90m kutoka kwenye bahari ni hifadhi.Kwenye bahari au mito kunakuaga na umbali fulani ambao hautakiwi kujenga na uwa unaachwa kwa kuwa mto au bahari inaweza kujaa na kufika eneo hilo. Simaanishi kuwa eneo ni reserve bali nimeuliza tu
Hivi viko sokoni zaidi ya miaka 2 sasa, watu wamegoma kwenda kuvinunua.
Hawa wanachangia sana kuharibu uchumi wa nchi na kushusha thamani ya shilingi kwa kujitamkia namba zisizoendana na hali halisi. Kwa mfano ukinunua kiwanja hicho kwa milinoni 750, utaweka biashara gani ya kurudisha pesa hizo?Madalali nawakubali kwa vijimaneno..
Bei ya kutupa
Boss anarudi kwao
Goodluck mkuu uuze chap