Tundu Lissu adai Hayati Magufuli ndiye aliyeagiza shambulio la kupigwa risasi dhidi yake Dodoma

Alianza kumchokonoa kwa kumuita dikteta uchwara. Akaonyeshwa udikteta kamili unavyokuwaga.
 
Pia rais ni taasisi. Sasa mtu huko atoke anakotoka. Halafu aanze kusema rais ni muuaji. Hiyo inaleta taswira gani kwa wananchi kuhusu taasisi hiyo ya urais? Tundu lisu katukosea watanzania tulio wengi.

Kusema ukweli ni kosa?!
 
Unaweza kumuua kichaa? Mbowe alivyosema alivamiwa kumbe mlevi tu ilikuwa sahihi? Kwanini Lissu hataki dereva wake ahojiwe? Ikitokea suala hili likaenda mahakamani atakataa asihojiwe? Kwanini?
Ni kichaa huyohuyo amekufanya saa hizi umejinunisha.Sasa hapo sijui nani ni kichaa?Hebu chunguza utoe jibu😜😜😜😜
 
U
she wa awamu ya 5 lazima uwekwe wazi
 
Kwani ni kweli Lissu alikuwa msaliti katika mapambano ya serikali kuhusu Rasilimali zake na wakoloni?

Maana kweli ninachojua! Nchi yoyote huwa iko kinyume kabisa na wasaliti na huwa wanapelekewa moto kweli!
Kwa kufuata utaratibu wa kisheria lakini.
Kumkamata kwa kutumia utaratibu wa kipolisi na kumpeleka mahakamani kwenda kusomewa mashitaka.
Sio kumshambulia kwa kusudio la kutaka kumuua kihunikihuni TU kama vikundi vya kigaidi mfano Boko haramu, Al shababu n magenge ya wauza cocaine huko mexico wafanyavyo.
 

Bwashee naona jana hukunywa dawa zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…