johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahaha....... Chacha Wangwe ilikuwa hivi hivi!Kina Lissu wamechaza karata kubwa sana. Wiki nzima palipiga kimya mambuzi wakiwamo mleta mada na hIzi ndugu zao za shule (Mitoto ya Shule) wakajiaminisha Chadema Kuna mgogoro.
Walidhani wamepata Kumbe looh, wamepatikana!
Walipo sasa wamejaa makasiriko ya kufa mtu!
Mguu wa kulia!!Kama ni mgonjwa wa akili angepelekwa Mirembe na sio kummiminia risasi zaidi ya 16 kama mnaua tembo
Pumbavu wewe! Jiwe si alitamka hivyo na iko kwenye youtube? Jinga wewe!Tundu Lissu sio mzima wa akili. Ni wa kuonea huruma na kupewa matibabu.
Nyie vijana hamjui haya mamboBwashee naona jana hukunywa dawa zako
Waambie ukweli hawa mapimbi!Mguu wa kulia!!
Kakusoea wewe peke yako, usituingize ktk fikra zako.Pia rais ni taasisi. Sasa mtu huko atoke anakotoka. Halafu aanze kusema rais ni muuaji. Hiyo inaleta taswira gani kwa wananchi kuhusu taasisi hiyo ya urais? Tundu lisu katukosea watanzania tulio wengi.
Uliwaonya chawa wenzio halafu mkasahau - Lissu na Chadema akili kubwa siyo size yenu na akina Magonjwa Mtambuka π€£π€£Hahaha....... Chacha Wangwe ilikuwa hivi hivi!
Zitto Kabwe almanusura
Sumaye akatoka nduki
Kikulacho!Uliwaonya chawa wenzio halafu mkasahau - Lissu na Chadema akili kubwa siyo size yenu na akina Magonjwa Mtambuka π€£π€£
Mlichuuzwa Kuna kutokuelewana mkajaa wazima wazima:Kikulacho!
Unayemtetea alikuwepo hajawahi kukanusha au kukubali. Wewe ni nani umsemee marehemu.Rais wa JMT kimsingi ndiye Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, kumkashifu au kumdhulia jambo Rais wa JMT ni kuidharau CCM.
Sera za CCM zinajulikana na ndizo zinazotekelezwa na Serikali.
Ni vema Tundu Lissu pamoja na Kituo kilichorusha Uzushi huo vikahojiwa na vyombo husika.
Mlale Unono!
Hahaha......2025 siyo mbali!Mlichuuzwa Kuna kutokuelewana mkajaa wazima wazima:
Lissu aendelea kuumbua wachawi
Na mtaumbuliwa sana vigagula nyie.
Akanushe risasi kuingia mguu wa kulia?Unayemtetea alikuwepo hajawahi kukanusha au kukubali. Wewe ni nani umsemee marehemu.
Raha zaidi niliyoipata ni pale aliyeamini kazi yake ilikua kuua wengine yeye ndie alikufa.Rais wa JMT kimsingi ndiye Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, kumkashifu au kumdhulia jambo Rais wa JMT ni kuidharau CCM.
Sera za CCM zinajulikana na ndizo zinazotekelezwa na Serikali.
Ni vema Tundu Lissu pamoja na Kituo kilichorusha Uzushi huo vikahojiwa na vyombo husika.
Mlale Unono!
Ubwa mmoja usiyetaka kuambiwa ukweli, ukiambiwa ukweli unabweka!!Rais wa JMT kimsingi ndiye Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, kumkashifu au kumdhulia jambo Rais wa JMT ni kuidharau CCM.
Sera za CCM zinajulikana na ndizo zinazotekelezwa na Serikali.
Ni vema Tundu Lissu pamoja na Kituo kilichorusha Uzushi huo vikahojiwa na vyombo husika.
Mlale Unono!
Sema kituo gani cha media kilichorusha Hiyo Taarifa??Rais wa JMT kimsingi ndiye Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, kumkashifu au kumdhulia jambo Rais wa JMT ni kuidharau CCM.
Sera za CCM zinajulikana na ndizo zinazotekelezwa na Serikali.
Ni vema Tundu Lissu pamoja na Kituo kilichorusha Uzushi huo vikahojiwa na vyombo husika.
Mlale Unono!
Idd Amin Mwendazake lazima asemweRais wa JMT kimsingi ndiye Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, kumkashifu au kumdhulia jambo Rais wa JMT ni kuidharau CCM.
Sera za CCM zinajulikana na ndizo zinazotekelezwa na Serikali.
Ni vema Tundu Lissu pamoja na Kituo kilichorusha Uzushi huo vikahojiwa na vyombo husika.
Mlale Unono!
Huwa anamuita "shujaa"!Ni mtaalamu sana wa vichekesho huyo kiumbe.ππππIdd Amin Mwendazake lazima asemwe