Tundu Lissu adai Hayati Magufuli ndiye aliyeagiza shambulio la kupigwa risasi dhidi yake Dodoma

Kina Lissu wamechaza karata kubwa sana. Wiki nzima palipiga kimya mambuzi wakiwamo mleta mada na hIzi ndugu zao za shule (Mitoto ya Shule) wakajiaminisha Chadema Kuna mgogoro.

Walidhani wamepata Kumbe looh, wamepatikana!

Walipo sasa wamejaa makasiriko ya kufa mtu!
Hahaha....... Chacha Wangwe ilikuwa hivi hivi!

Zitto Kabwe almanusura

Sumaye akatoka nduki
 
Wakati tunaendelea kujadili suala hili, Ningeomba Malaika wa Zamu waendelee kuchochea kuni, tena moto uwe mkali sana.
 
"When the white mans' God is Offended. People Die."

Mh. Lissu hakuwa na Bahati.
He is the Chosen one.

"Oh Our Saviour, St Augustine"
 
Rais wa JMT kimsingi ndiye Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, kumkashifu au kumdhulia jambo Rais wa JMT ni kuidharau CCM.

Sera za CCM zinajulikana na ndizo zinazotekelezwa na Serikali.

Ni vema Tundu Lissu pamoja na Kituo kilichorusha Uzushi huo vikahojiwa na vyombo husika.

Mlale Unono!
Unayemtetea alikuwepo hajawahi kukanusha au kukubali. Wewe ni nani umsemee marehemu.
 
Rais wa JMT kimsingi ndiye Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, kumkashifu au kumdhulia jambo Rais wa JMT ni kuidharau CCM.

Sera za CCM zinajulikana na ndizo zinazotekelezwa na Serikali.

Ni vema Tundu Lissu pamoja na Kituo kilichorusha Uzushi huo vikahojiwa na vyombo husika.

Mlale Unono!
Raha zaidi niliyoipata ni pale aliyeamini kazi yake ilikua kuua wengine yeye ndie alikufa.

Ilikua raha sana siku hiyo dictator alipokufa, na ni rahq zaidi kwani yuko jehanqmu huko motoni na zoezi la leo ni kumchoma kadudu kake
 
Rais wa JMT kimsingi ndiye Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, kumkashifu au kumdhulia jambo Rais wa JMT ni kuidharau CCM.

Sera za CCM zinajulikana na ndizo zinazotekelezwa na Serikali.

Ni vema Tundu Lissu pamoja na Kituo kilichorusha Uzushi huo vikahojiwa na vyombo husika.

Mlale Unono!
Ubwa mmoja usiyetaka kuambiwa ukweli, ukiambiwa ukweli unabweka!!
 
Rais wa JMT kimsingi ndiye Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, kumkashifu au kumdhulia jambo Rais wa JMT ni kuidharau CCM.

Sera za CCM zinajulikana na ndizo zinazotekelezwa na Serikali.

Ni vema Tundu Lissu pamoja na Kituo kilichorusha Uzushi huo vikahojiwa na vyombo husika.

Mlale Unono!
Sema kituo gani cha media kilichorusha Hiyo Taarifa??
 
CCM na CDM watakavyo malizana kwenye majukwaa ya siasa watajua wenyewe..

Hila humu JF kwa sie ambao tunaelewa Magufuli hakuwa perfect ila dhamira yake ilikuwa njema kwa Tanzania awezi dhalilishwa kamwe. Either the culprit ni CDM au CCM.

Bora Magufuli kuliko (bi tozo + JK) binafsi nipo tayari kunyofolewq kucha kwa kauli hiyo ata pliers zikiwa mbele yangu.
 
Rais wa JMT kimsingi ndiye Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, kumkashifu au kumdhulia jambo Rais wa JMT ni kuidharau CCM.

Sera za CCM zinajulikana na ndizo zinazotekelezwa na Serikali.

Ni vema Tundu Lissu pamoja na Kituo kilichorusha Uzushi huo vikahojiwa na vyombo husika.

Mlale Unono!
Idd Amin Mwendazake lazima asemwe
 
Back
Top Bottom