johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahaha....... Chacha Wangwe ilikuwa hivi hivi!Kina Lissu wamechaza karata kubwa sana. Wiki nzima palipiga kimya mambuzi wakiwamo mleta mada na hIzi ndugu zao za shule (Mitoto ya Shule) wakajiaminisha Chadema Kuna mgogoro.
Walidhani wamepata Kumbe looh, wamepatikana!
Walipo sasa wamejaa makasiriko ya kufa mtu!
Zitto Kabwe almanusura
Sumaye akatoka nduki