Jumatatu yuko ITV kile kipindi cha dakika 45. Yaani kila chombo cha habari kina tafuta kipindi na Lissu. Usishangae hata TBC wakawa nae soon.
..Clouds 360 walikuwa NYUMBANI kwa Lissu.
..kweli Tanzania imebadilika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jumatatu yuko ITV kile kipindi cha dakika 45. Yaani kila chombo cha habari kina tafuta kipindi na Lissu. Usishangae hata TBC wakawa nae soon.
Kipi kipimo cha usaliti?
Unapimwaje? [emoji2369]
Je sheria ina-define vipi usaliti?
Ikithibitika adhabu yake ni nini?
Je sheria imesema auwawe ?
Kwanini asishitakiwe kwenye vyombo vya haki?
mkuu... Kuna watu walikufa kwa kushindwa kumtoa jamaa roho..Wale watamanio teuzi, bila shaka tukio lile kuna watu walipata vyeo/teuzi.
Wangemhoji kipindi kile cha jiwe ingependeza..Clouds 360 walikuwa NYUMBANI kwa Lissu.
..kweli Tanzania imebadilika.
Yule jamaa alikuwa na roho mbaya mno.Kwenye mahojiano na kipindi cha Clouds 360 Lissu amesema aliyetoa mari, masaa mawili kabla hajapigwa risasi alisema kulikua na mtu anahutubia na kwenye hotuba yake alikuwa anapokea ripoti ya Bunge ya madini ya Almasi na Tanzanite, moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba hiyo ni;
"Wale wanaopinga nchi wakati tupo kwenye vita ya kiuchumi nyie wanajeshi mnajua huwa wanafanywaje, hawastahili kuishi."
Ambapo masaa mawili baadae Lissu alishambuliwa Dodoma, akisema bayana kuwa anayemuongelea ni Hayati John Pombe Magufuli, ambapo hata baada ya tukio hilo Rais Magufuli hakuwahi kusema chochote juu ya shambulio hilo.
View attachment 2504783
Wangemhoji kipindi kile cha jiwe ingependeza
Jamaa alishasema hashauriki...tena ukimshauri ndio umeharibu kabisa.Kama hakukuwepo walioshauri hilo baass hawakumsaidia Mheshimiwa wakamsusa aamue mwenyewe tu hata kama anakosea au kupatia!!
Mimi BADO naamini tulipaswa KUFANYA KITU Zaidi ya kile kilichotokea!!!
Kwa katiba hii hicho kisingewezekana katuAngeweza kushtakiwa kwa vitendo vyake kama Magufuli na siyo Rais. Kuna avenue ya kumshtaki
Hujui kitu wewUlikuwepo nchini wakati wa utawala wa dikteta Magufuli?
Yeye ndiye alikuwa nchi. Yeye ndiye alikuwa katiba. Yeye alikuwa bunge, yeye alikuwa mahakama.
Kwa hiyo kumpinga yeye ilikuwa unapinga nchi. Lisu alikuwa anampinga dikteta Magufuli kuzuia exports za concentrates bila ya kufuata sheria.
Hamna kitu mbona wakoloni waliua weusi na Mambo yalienda vzr tuMalipo ni hapahapa, leo kabaki fuvu tu
Mbona anaogopaga kutamka kuwa NEC ya CDM (akiwemo yeye) ni mali ya kikwete. Acha kumsifia huyo jamaa ana siri nzito ya unafiki.Huyo Tundu Lissu, ninachomsifu huwa haogopi kutamka lolote!
Hamjui tu. Kiasi kikubwa cha kodi ya miaka mingi walivyotuibia barric akidaiwa kama mkakati kwenye kufikia makubaliano mazuri kwa tanzania.alikuwa anapinga UKANYABOYA wa Magufuli ambao KABUDI kaudhibitishaView attachment 2504748
Alikuwa kinyume na maamuzi ya dikteta Magufuli.
Note:
Kwenye utawala wa kidikteta, dikteta hujiona yeye ndiyo nchi.
Uongo mtupu..Mbona anaogopaga kutamka kuwa NEC ya CDM (akiwemo yeye) ni mali ya kikwete. Acha kumsifia huyo jamaa ana siri nzito ya unafiki.
Oooohoooo!! Kumekucha sasa ngoja waje wafia legacy!! Ila Lisu hapindishi maneno 🤣🤣🤣Kwenye mahojiano na kipindi cha Clouds 360 Lissu amesema aliyetoa mari, masaa mawili kabla hajapigwa risasi alisema kulikua na mtu anahutubia na kwenye hotuba yake alikuwa anapokea ripoti ya Bunge ya madini ya Almasi na Tanzanite, moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba hiyo ni;
"Wale wanaopinga nchi wakati tupo kwenye vita ya kiuchumi nyie wanajeshi mnajua huwa wanafanywaje, hawastahili kuishi."
Ambapo masaa mawili baadae Lissu alishambuliwa Dodoma, akisema bayana kuwa anayemuongelea ni Hayati John Pombe Magufuli, ambapo hata baada ya tukio hilo Rais Magufuli hakuwahi kusema chochote juu ya shambulio hilo.
View attachment 2504783
Jitoe akili tu!!Duh
Kwani Yeye Tundu Lisu alikuwa anapinga nchi?
we n kiazJPM hakusema lolote kwani hakutaka kuingilia mambo ya ndani ya Chadema
Wazee wa legacy njoon mumuone msaliti huku!!alikuwa anapinga UKANYABOYA wa Magufuli ambao KABUDI kaudhibitishaView attachment 2504748