Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Ole Lissu vs Ole Sabaya😆😆😆CV za Boniface Mwabukusi, Tundu Lissu, Peter Madeleka ...na wengine wengi zaonesha wamelowea, wamekulia, wamesoma shule n.k huko kaskazini hususan Arusha
View attachment 2743342
Mh. Tundu Antipas Ole Lissu akiwa kata ya Ololosokwan Ngorongoro Tanzania
Eeeh kumbe? Sasa nani atakuwa Mwanakondoo?Hakuna ukombozi bila damu
Mtaminywa kende wote mnaopinga. Mkataba wa bandari tulishamaliza ni utekelezaji tu. Sema lingine. Dkt Samia OyeeNashukuru wamasai wamefikisha ujumbe CCM kwamba wanayotutendea watanganyika hayakubaliki Duniani na Mbinguni..
Ujumbe wa leo unatupeleka 2025 kwenye kivumbi na jasho ama kweli Mchengerwa kazi anayo.
Tuombe uzima. Tushuhudia wote anguko la CCM. 2025.
Huu ni ushauri mzuri kuliko waendelee kukaza fuvu.Mambo yanavyokwenda muda ni mwali,ccm kaeni na Lissu mezani mkubaline jinsi ya kumkabidhi nchi,mazunguzo yaanze malamoja, mpe mashariti magumu ya kutowashitaki kwa matumizi mabaya ya madaraka, msione aibu nijambo la kawaida mtabaki na heshima msigoje dakika za lala salama,anzama mapema chukueni mkataba wenu utawasaidia huko mbeleni,mazunguzo yasiwe siri sisi raia tutakuwa mashahidi mbinu na wapa,Lissu ni Mandela wa Tanganyika.
Ujumbe umeshafika. Mavideo na mapicha yanazunguka huko mtandao wa XNachukua nafasi hii kutangaza kuwadharau watu wote walioshiriki kuhujumu Jambo Tv Online ili ishindwe kuripoti Mkutano Kabambe wa Tundu Ole Lissu alipowahutubia Wamasai, ambao ni wahanga wa kuhamishwa kwenye maeneo yao huko Ngorongoro
Laana ya milele iwaandame wao na vizazi vyao katika maisha yao yote yaliyosalia hapa duniani , Amina
Siasa hizi za kishamba zilizopitwa na Wakati , hazina nafasi tena kwenye nchi hii , tupingane kwa hoja .
Haya sasa.Yaani polisi na CCM wamemfanyia promotion Tundu Lissu bila wao kujua. Mi mwenyewe nilikuwa sijua kama anaenda huko ila ile barua ndo imenifanya njue na kufuatilia.
Wamefanya nini tena hawa viumbe!!CCM inafanya siasa za kishamba sana
Hivi mkuu huu mkutano si ndio ulipigwa marufuku na wale Div 4 point 32 hawakujitokeza kuzuia?Sisi wa JF tulikuwa hewani muda wote
Kuzikwa na wengi sio kwenda mbinguni/peponiMbona kama walikuwa wanamsubiri kwa hamu sana,Sijui polisisiem wamekaa mkao gani?
Kipindi JPM akiwatetea wanyonge chadema ilikuwa upande wa mabeberu kwaiyo acheni siasa za kinafikiNachukua nafasi hii kutangaza kuwadharau watu wote walioshiriki kuhujumu Jambo Tv Online ili ishindwe kuripoti Mkutano Kabambe wa Tundu Ole Lissu alipowahutubia Wamasai, ambao ni wahanga wa kuhamishwa kwenye maeneo yao huko Ngorongoro
Laana ya milele iwaandame wao na vizazi vyao katika maisha yao yote yaliyosalia hapa duniani , Amina
Siasa hizi za kishamba zilizopitwa na Wakati , hazina nafasi tena kwenye nchi hii , tupingane kwa hoja .
Mpango wa Mungu hauwezi kuzuiwa na mamluki , Wameonyeshwa Vifungu vya Katiba wakanyweaHivi mkuu huu mkutano si ndio ulipigwa marufuku na wale Div 4 point 32 hawakujitokeza kuzuia?
Kiingereza cha kipumbavu sana, badala ya kwenda shule unajiaibisha hapa.You are everywhere and you know everything.
U gallivant day and night.
Support CCM here defend them there.
Throw insults at people for no reason....
You no get work or are you this JOBLESS?
NyekunduDamu ya rangi gani unataka kuona?