Mnajisumbua kweliKuwa wa kwanza kufahamu kwamba , Makamu mwenyekiti wa Chadema , Tundu Lissu amewasili Ngorongoro ambako anatarajiwa kuwasha moto wa Ukombozi na kukata minyororo ya Utumwa waliyofungwa Wamasai .
View attachment 2743175
Nakala : Maulid Kitenge
Angalizo : Usiondoke JF kuna mambo mazito mno yanakuja .
Nenda huko kwenye mada za utamu... unachukia vyama vyote vya siasa na upo jukwaa la siasa? Huku huwezi wapata unaowatafuta huku ni wagumu.com au nenda tiktokAisee so nisiwe na uhuru wa kucomment popote who are you?? What are you doing ?? This Tanzania where everything is possible to have
Mungu wa mbinguni akubariki Erythrocyte 😀😀Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , Makamu mwenyekiti wa Chadema , Tundu Lissu amewasili Ngorongoro ambako anatarajiwa kuwasha moto wa Ukombozi na kukata minyororo ya Utumwa waliyofungwa Wamasai .
View attachment 2743175
Nakala : Maulid Kitenge
Angalizo : Usiondoke JF kuna mambo mazito mno yanakuja .
Ndivyo alivyoambiwa hata Nyerere wakati wa kudai UhuruMnajisumbua kweli
Jamaa mgeni wa jukwaaNenda huko kwenye mada za utamu... unachukia vyama vyote vya siasa na upo jukwaa la siasa? Huku huwezi wapata unaowatafuta huku ni wagumu.com au nenda tiktok
Akufinde tndio nini?Kalipie tuition Kwa Ras Simba akufinde Kizungu,umeandika pumba tupu.
Walimsweka Ndani Mbunge huyo hivi Karibuni. Ngoja nimpe maua yake mapema kwa kujiunga na nguvu ya wafanyabiashara na umma wa "Kariakoo". Wale watu walituonyesha ni jinsi gani tunaweza kupambana na Serikali isiyo Sikivu.Hadi mbunge wa ccm Ngorongoro na madiwani wake walilalmika sana lakini serikali ya ccm kwa maslahi binafsi hawakusikiliza.
Sawa chawa wa Mbowe 😁😁Akufinde tndio nini?
Sasa nikwambie ukweli uliukate tamaa kabisa nchi yetu hainadini lakini wananchi wake wanadini kuna dini kuu mbili lakini sizitaji abazo kunamadhehebu mawili ndioyanatoa viongozi haya mazehebu 2 mpaka yatengane ndio frusa unayoota huenda ikakufikia lakini mpaka sasa chama chao ni ccm. Hatawakati wakuomba Uhuru walimuunga mkono nyerere ndio akapataNdivyo alivyoambiwa hata Nyerere wakati wa kudai Uhuru
Acha kupotosha. Hapo sio Ngorongoro. Hizo picha ni za Monduli. Unapata faida gani kudanganya umma?
Nyie vitoto vidogo vinamaziwa mdomoni vinalalewa home kulishwa ugali na mnavuKila aandikaye kwa uono wako unamchukulia mtoto chawa wewe?
Jikaze kwa kuendelea kuonesha miujingaujinga yako.List ya mipumbavu mitatu wa JF haukosekani wewe.Nyie vitoto vidogo vinamaziwa mdomoni vinalalewa home kulishwa ugali na mnavu
Yawezekana muda uliokubalika ukawa ndio huu!!Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , Makamu mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amewasili Ngorongoro ambako anatarajiwa kuwasha moto wa Ukombozi na kukata minyororo ya Utumwa waliyofungwa Wamasai.
View attachment 2743175
Nakala : Maulid Kitenge
Angalizo : Usiondoke JF kuna mambo mazito mno yanakuja .
Lissu ni kama maji tu,utayahitaji tu wakati fulani ukifika.Kinachonirudishaga nyuma kwa Tundu Lisu ni kitendo chake cha kuungana na Acacia na kusema tutashitakiwa MIGA
Piga magoti omba kwa ajili ya mtanzania huyu ambae Mungu aliamua kukaa upande wake daima azidi kuwa nae hata siku moja tumuone akiwa kwenye kile kileleMbunge wa Ngorongoro angeungana na viongozi chini yake kurudisha kadi za chama chakavu!!
Dalali kijolaKuwa wa kwanza kufahamu kwamba , Makamu mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amewasili Ngorongoro ambako anatarajiwa kuwasha moto wa Ukombozi na kukata minyororo ya Utumwa waliyofungwa Wamasai.
View attachment 2743175
Nakala : Maulid Kitenge
Angalizo : Usiondoke JF kuna mambo mazito mno yanakuja .