Pre GE2025 Tundu Lissu atahadharisha uchaguzi ndani ya chama kuingiliwa na fedha za Rais Samia na mwanae Abdul

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mwingereza

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
1,115
Reaction score
2,771
Kuna fedha za ajabu ndani ya Chadema ambazo chanzo chake hakijulikani. Hizi hela kama siyo za Abdul na mama yake, ni za nani?

Kuna fedha za ajabu, Iringa, njombe na kwingineko. Pesa za Abdul na mamake zitatuangamiza. Chagueni viongozi ambao hawatatuangamiza. Kuweni macho na hizo pesa. Mkavhagueni viongozi wanaowaamink, siyo wanaowaonga.

Tunapohangaika kufanya mikutano ya hadhara, hatuna hela. Tunaposwekwa ndani, hakuna hela. Kwemye chaguzi, hizi pesa zinayoka wapi? Kuweni macho na hizi pesa chafu za yuda Iskarioti.

========
Your browser is not able to display this video.

Tundu Lissu akiwa mkoani Iringa uwanja wa Mwembetogwa jana May 03, 2024 ametahadharisha kuhusu pesa nyingi ndani ya chama hicho kuelekea chaguzi za ndani nchi nzima.

Tundu Lissu: Kuna mtafaruku mkubwa sana wa uchaguzi ndani ya chama chetu, kuna pesa nyingi ajabu kwenye uchaguzi huu. Hela ambayo tukisema tufanye mikutano, tutafute vyombo vya matangazo, huwa haipo.

Leo kwenye uchaguzi kuna hela ya ajabu, nyie mnafikiri hii hela ni ya wapi? Nyie mnafikiri hii hela ni ya nani? Mnafikiri hii hela itatuacha salama?

Ukitaka kujua tu kwamba hatuko salama, fatilia mitandaoni. Sasa nayazungumza haya kwa wananchi, na nayazungumza viongozi wayasikie, hizo pesa kwanza sio za Chadema kwasababu sisi huwa hatuna hela siku zote.

Kwahiyo hizi hela ni za nani? Kama sio za Abdul na mama yake! Nyie mnafikiri ni za nani? Na zinavyosambazwa hivi ni kwaajili ya manufaa ya chama chetu?

Sasa nyie wananchi wa Iringa mimi nawaombeni, kwasababu niliambiwa nisije kuzungumza kwenye mkutano huu, nisije kabisa, niliambiwa nisubiri uchaguzi upite ndio nije, yaani nisubiri mchafuane na kukatana mapanga na kutukanana, kuraruana halafu mkishararuana vya kutosha ndio nije.

Nawaombeni sana muwe macho na hizi pesa, nimesema ni za Abdul na mama yake, zitatuangamiza tusipoangalia na sio Iringa peke yake, ni kila mahali.

====

Pia soma
- Inadaiwa hasira za Lissu zinatokana na kunyimwa gari na Rais Samia
- Lissu ajibu tuhuma za kunyimwa gari pamoja na fedha na Rais Ramia, asema hajawahi kuomba 'favor' yoyote kutoka kwake
 
Halafu ndo upinzani wawatoe CCM , wote wale wale tu watu wa kwenye system tunachezeana tu mazingaombwe,,,unaweza kuta hao wote wana godfather mmoja
 
02 May 2024
Iringa, Tanzania

Fedha nyingi badala ya kujenga demokrasia ndani ya chama dola kongwe CCM zimepenyezwa kujaribu kuvuruga chaguzi za ndani za CHADEMA.

Viongozi ndani ya CCM ngazi za wajumbe wa nyumba 10 wanalia njaa lakini hawapewi fedha hizo ila zinaelekezwa kuvuruga.

=======

Your browser is not able to display this video.

Tundu Lissu akiwa mkoani Iringa uwanja wa Mwembetogwa jana May 03, 2024 ametahadharisha kuhusu pesa nyingi ndani ya chama hicho kuelekea chaguzi za ndani nchi nzima.

Tundu Lissu: Kuna mtafaruku mkubwa sana wa uchaguzi ndani ya chama chetu, kuna pesa nyingi ajabu kwenye uchaguzi huu. Hela ambayo tukisema tufanye mikutano, tutafute vyombo vya matangazo, huwa haipo.

Leo kwenye uchaguzi kuna hela ya ajabu, nyie mnafikiri hii hela ni ya wapi? Nyie mnafikiri hii hela ni ya nani? Mnafikiri hii hela itatuacha salama?

Ukitaka kujua tu kwamba hatuko salama, fatilia mitandaoni. Sasa nayazungumza haya kwa wananchi, na nayazungumza viongozi wayasikie, hizo pesa kwanza sio za Chadema kwasababu sisi huwa hatuna hela siku zote.

Kwahiyo hizi hela ni za nani? Kama sio za Abdul na mama yake! Nyie mnafikiri ni za nani? Na zinavyosambazwa hivi ni kwaajili ya manufaa ya chama chetu?

Sasa nyie wananchi wa Iringa mimi nawaombeni, kwasababu niliambiwa nisije kuzungumza kwenye mkutano huu, nisije kabisa, niliambiwa nisubiri uchaguzi upite ndio nije, yaani nisubiri mchafuane na kukatana mapanga na kutukanana, kuraruana halafu mkishararuana vya kutosha ndio nije.

Nawaombeni sana muwe macho na hizi pesa, nimesema ni za Abdul na mama yake, zitatuangamiza tusipoangalia na sio Iringa peke yake, ni kila mahali.
 
02 May 2024

Fedha nyingi badala ya kujenga demokrasia ndani ya chama dola kongwe CCM zimepenyezwa kujaribu kuvuruga chaguzi za ndani za CHADEMA ...
Zithi iz bongoland bwana🤪
 
Lissu: Ni pesa za Abdul na mamake.

Swali: Pesa hizo zimeingia kupitia mlango upi, au zimepitia dirishani?

Bado natafuta jibu.

Kwako Erythrocyte
 
Safi sana
 
Lissu: Ni pesa za Abdul na mamake.

Swali: Pesa hizo zimeingia kupitia mlango upi, au zimepitia dirishani?

Bado natafuta jibu.

Kwako Erythrocyte
Katika hali halisi Chadema ni hatari mno kwa CCM, na hasa kwa mgombea wa ccm akibaki kuwa Hangaya, kwahiyo njia pekee ni kwa ccm kupenyeza watu wao, ndio maana Lissu kaanika mambo hadharani, Nakusanya Taarifa na nitaliweka hadharani hivi punde
 
Katika hali halisi Chadema ni hatari mno kwa CCM, na hasa kwa mgombea wa ccm akibaki kuwa Hangaya, kwahiyo njia pekee ni kwa ccm kupenyeza watu wao, ndio maana Lissu kaanika mambo hadharani
Au ana mpango kuja kugombea CDM nn!!
 
Dalili za kuweweseka.Lisu umezaliwa kuwa looser na hii huwezi badili 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…