Pre GE2025 Tundu Lissu atahadharisha uchaguzi ndani ya chama kuingiliwa na fedha za Rais Samia na mwanae Abdul

Pre GE2025 Tundu Lissu atahadharisha uchaguzi ndani ya chama kuingiliwa na fedha za Rais Samia na mwanae Abdul

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
WENYEVITI WA VIJIJI (CCM) WADAI POSHO, WACHOKA KUITWA WAHESHIMIWA WAKIWA MKONO MTUPU

Na Amiri Kilagalila,Njombe

Wenyeviti wa serikali za vijiji vya tarafa ya Makambako jimbo la Lupembe mkoani Njombe wamesema wamechoka kuitwa waheshimiwa bila kulipwa hata posho wakati wamekuwa na majukumu makubwa ya kuwatumikia wananchi.

Mbele ya mbunge wa jimbo la Lupembe Edwin Swalle (CCM) alipozuru katika tarafa hiyo kwa lengo la kukutana na wenyeviti wote wa vijiji na kusikiliza changamoto za maeneo yao ya kiutawala baadhi ya wenyeviti hao akiwemo Eliud Kaduma kutoka Kichiwa, Fredrick Damian kutoka Mihale Ninga na Ayub Kipuge kutoka kijiji cha Tagamenda wamesema wanashangaa kuona diwani,mbunge hadi Rais ambao nao ni viongozi wa kuchaguliwa kama wao wanalipwa mishahara na posho lakini wao hawapati hata posho kwa miaka mingi sasa.

“Tumekuwa tukifanyia sifa, hii sifa ya kuitwa mwenyekiti tumechoka maana hatuli na hali ni mbaya na ukizingatia kuna wengine wanapata posho na wengine wanazo lakini wanalalamika kwamba mi chache hasa sisi ambao hatuna kabisa ni shida lakini kazi tunafanya na sisi ndio wajenga nchi”alisema Eliud Kaduma mwenyekiti wa kijiji cha kichiwa Kichiwa

“Sisi wenyeviti wa vijiji (CCM) tunachaguliwa kama mbunge na Mh,Rais lakini kwenye posho tumesahauliwa.Wenzetu wabunge wanapata na madiwani wanapata sasa sijajua tuna dhambi gani wenye viti wa vijiji tuliyoitenda kwenye nchi hii.Kama tunasimamia maendeleo na amani ya vijiji halafu tukatupwa kiasi hicho”alisema Ayub Kipuge kutoka kijiji cha Tagamenda

Wengine wamepaza sauti zao wakidai changamoto za miundombinu ya barabara,afya,elimu na maji na kwamba wanamuomba mbunge huyo awasaidia namna ya kuzitatua.

Akitolea ufafanuzi wa changamoto hizo mbunge wa jimbo la lupembe Edwin Enosy Swalle amesema atakwenda kuzifanyia kazi kero hizo huku akiahidi kuwaalika bungeni mwezi wa sita mwaka huu wenyeviti wote ili pia wakakutane na waziri wa Tamisemi awasikilize kilio chao.

“Hili jambo la posho ninalifahamu ninaomba nikatafutie majibu yake kwasababu nimeshalifanyia utafiti kidogo”Alisema Swalle

1714672872443.png

Baadhi ya wenyeviti wa vijiji vya tarafa ya Makambako wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuwasilisha kero zao kwa mbunge wa jimbo la Lupembe
 
Mmeanza kutafuta visingizio pambaneni ili abaki mnaoona anafaa.
Kampeni meneja wa Msigwa kamuita Sugu msanii sio kiongozi.
Wacheni kusingizia vivuli nunda yupo ndani.Sioni wa kumfunga paka kengele ni kelele tu za jukwaani .Nunda wenu kaota mizizi.
Kanda ya Kaskazini mbona kimya hamna uchaguzi?
 
Dalili za kuweweseka.Lisu umezaliwa kuwa looser na hii huwezi badili 😁😁
Soma hii 👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻labda utaelewa na kufungua ufahamu na akili zako

Wenyeviti wa mitaa walia na Halmashauri kuhusu posho​

November 11, 2023 2 min read
Na Lubango Mleka, Times Majira Online – Igunga.

WENYEVITI wa Serikali za mitaa Mamlaka ya mji mdogo Igunga mkoani Tabora wameilalamikia Halmashauri ya wilaya ya Igunga kwa kutowalipa posho zao za kila mwezi shilingi laki moja kwa zaidi ya miaka miwili na nusu.

Wenyeviti hao wametoa malalamiko hayo kwenye ofisi ya Mamlaka ya Mji mdogo Igunga wakati wakizungumza na waandishi wa habari na ueleza kuwa walishatoa malalamiko hayo kwa aliyekuwa Waziri wa TAMISEMI Sulemani Jafo wakati huo, ambapo kwa sasa wamemuomba Waziri mwenye dhamana kuingilia kati suala hilo.
IMG-20231110-WA0032-1024x576.jpg
Wenyeviti wa Serikali za mitaa katika Halmashauri ya Mji Mdogo wa Igunga wakitoka katika ofisi hizo baada ya kuongea na waandishi wa habari juu ya madai yao ya posho kwa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
Wamesema hali hiyo imesababisha hadi wengine wameshastaafu na wengine kufariki jambo ambalo linawasababisha kuishi kwa shida pia walio kazini kuwa katika hatari ya kushawishika kupokea rushwa pindi wanapotoa huduma kwa wananchi.
Hawa Hamis mwenyekiti (viti maalumu) amesema wamekuwa wakifuatilia madai yao ya fedha mara kwa mara bila mafanikio.

“Kwa kweli sisi Wenyeviti wa Serikali za Mitaa katika Mamlaka ya Mji Mdogo Igunga halmashauri yetu haitutendei haki kwani hizo posho za shilingi laki moja kila mwezi ni haki yetu lakini kila tunapofuatilia tumekuwa tukiahidiwa bila mafanikio,”.
IMG-20231110-WA0034.jpg

Wamesema kuwa, kutokana na hali hiyo wamekuwa wakifanya kazi katika mazingira magumu kwani wao ndio wana watu katika mitaa yao ambapo kila siku lazima watoe huduma mbalimbali na huduma zingine zinahitaji kuchapisha karatasi za vibali vya kuwapatia wananchi ikiwemo kupeleka mifugo yao mnadani, kudhamini Polisi na Mahakamani
 
Mmeanza kutafuta visingizio pambaneni ili abaki mnaoona anafaa.
Kampeni meneja wa Msigwa kamuita Sugu msanii sio kiongozi.
Wacheni kusingizia vivuli nunda yupo ndani.Sioni wa kumfunga paka kengele ni kelele tu za jukwaani .Nunda wenu kaota mizizi.
Kanda ya Kaskazini mbona kimya hamna uchaguzi?
Mwanza,Serengeti Pwani, Kati mbona kimya hakuna uchaguzi? Historia inaonyesha kuwa CCM kila mara hutumia pesa kuivuruga CDM kuweni macho,watu waliunga mkonosaana awamu ya 5 na pia covid 19 hii hatari. mtakatisha!
 
Wananunua madaraka nakuita wenzao wezi.

Mtoa rushwa anapo sahau kuwa rushwa nayo ni jinai na inaondoa integrity vile vile.
 
Halafu mnasingizia wengine kuwapiga risasi wakati mnapigana wenyewe huko.

Hivi kwa kauli kama hizi mmoja wapo wa wahusika hawezi ona kama kuna kutiliana mchanga kitumbua??
 
TL yuko sahihi anapoona wagombea wanapesa za ajabu ajabu yawezekana yakawa ni mapandikizi ya ccm. Na ukajikuta uongozi mzima wa mkoa ccm tupu, baadae yanajifaragua na kusema narudi ccm, kumbe yalitoka hukohuko.
 
Kuna fedha za ajabu ndani ya Chadema ambazo chanzo chake hakijulikani. Hizi hela kama siyo za Abdul na mama yake, ni za nani?

Kuna fedha za ajabu, Iringa, njombe na kwingineko. Pesa za Abdul na mamake zitatuangamiza. Chagueni viongozi ambao hawatatuangamiza. Kuweni macho na hizo pesa. Mkavhagueni viongozi wanaowaamink, siyo wanaowaonga.

Tunapohangaika kufanya mikutano ya hadhara, hatuna hela. Tunaposwekwa ndani, hakuna hela. Kwemye chaguzi, hizi pesa zinayoka wapi? Kuweni macho na hizi pesa chafu za yuda Iskarioti.

View: https://www.youtube.com/live/FoVe12k-pog?si=mcWmwLLODWK55UEW
Tundu Lissu Iringa leo...MoDs Futeni tena.

AISEEE!.
Tulisha sema humu. Pesa ya Mwarabu itamwagika uchaguzi utakapowadia; lakini naona wameamua kuwahi mapema.
 
Wananunua madaraka nakuita wenzao wezi.

Mtoa rushwa anapo sahau kuwa rushwa nayo ni jinai na inaondoa integrity vile vile.
Ni nani anayejali 'integrity' enzi hizi huko CCM!
Watakuwa ni watu wachache sana wa kuhesabu vidole vy a mkono mmoja. Hawa hawabadili chochote ndani ya chama hicho.
 
AISEEE!.
Tulisha sema humu. Pesa ya Mwarabu itamwagika uchaguzi utakapowadia; lakini naona wameamua kuwahi mapema.
Haya Yameanza leo? Magu alidhibiti hili and soon mama atabana tena hizi pesa za wafadhili wenye agenda
 
Kuna Sugu na Msigwa... sifikirii kati ya hawa kuna wa kuhongwa na CCM. labda nafasi zingine.....
Ningeungana nawe kutia mashaka kama ingekuwa ni wakati wa Magufuli. Hawa wawili wapo karibu sana na Mama; kama alivyo Mbowe.
Chunga sana namba.
 
Back
Top Bottom